Tusidanganye umma kuwa na bunge la kuikosoa serikali mpaka wapinzani wawe bungeni. Huko nyuma bunge la chama kimoja liliisimamia serikali vyema

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania?

Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.

Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.

Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
 
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?

Hujielewi. Unaongelea bunge gani la chama kimoja lililowahi kuisimamiia vizuri serikali kuliko lenye wapinzani wengi? Chuki yako kwa upinzani ndio inayokupa upofu hata usiuone ukweli! Acha hizo!
 
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?

Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.

Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.

Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
Muulize bibi yako maisha yalikuaje wakati wa chama kimoja.
 
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?

Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.

Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.

Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
Inaonekana wewe ni kati ya wale walionunua phd za mchongo,siyo bure, yaani kufananisha Bunge la sasa la chama kimoja, kwa lile la magufuri alipoingia madarakani? Mpaka mwenyewe akaomba lisilushwe live?
 
Bado tuna kundi kubwa sana la wajinga ndani ya nchi hii licha ya serikali kuwa na shule za sekondari Kila kata

"Utu busara ujinga hasara"
 
Ingewezekana vipi kuwa na bunge la vyama vingi (wapinzani) wakati nchi ilikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja?
Kwa kifupi sana, katika mfumo wa siasa za Chama Kimoja, huwezi kutofautisha mpinzani na mtawala.
 
Hoja hapa ni bunge kuisimamia serikali
 
Mtoa mada hii ni mzee sana, na bado anaishi in the past
 
Umesema huko nyuma, kwani sasa ni nyuma? Wangekuwa wamesimamia vizuri tungekuwa hivi karne hii tunazungumzia madawati? Tungekuwa na hii katiba kama enzi za ujima?
 
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?

Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.

Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.

Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.

Unatuletea za mwaka 47 hapa, kwani wabunge wa wakati huo walikuwa wanaingia bungeni kwa maagizo ya rais aliye madarakani? Zaidi ya nusu ya wabunge wa sasa wako bungeni kwa maagizo ya dhalimu, watahoji nini? Isitoshe bunge lenyewe ni kibogoyo na majizi ya kura, litahoji nini cha maana?
 
Watu kama wake mlisomea wdemokrasia ya kugombea uraisi na kuvuli badala ya binadamu. Zero testa.
 
Unatuletea za mwaka 47 hapa, kwani wabunge wa wakati huo walikuwa wanaingia bungeni kwa maagizo ya rais aliye madarakani? Zaidi ya nusu ya wabunge wa sasa wako bungeni kwa maagizo ya dhalimu, watahoji nini? Isitoshe bunge lenyewe ni kibogoyo na majizi ya kura, litahoji nini cha maana?
Dogo hasira za uchaguzi 2020 zinahusiana vipi na ukweli huu?
 
Back
Top Bottom