Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hujielewi. Unaongelea bunge gani la chama kimoja lililowahi kuisimamiia vizuri serikali kuliko lenye wapinzani wengi? Chuki yako kwa upinzani ndio inayokupa upofu hata usiuone ukweli! Acha hizo!Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
Muulize bibi yako maisha yalikuaje wakati wa chama kimoja.Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
Inaonekana wewe ni kati ya wale walionunua phd za mchongo,siyo bure, yaani kufananisha Bunge la sasa la chama kimoja, kwa lile la magufuri alipoingia madarakani? Mpaka mwenyewe akaomba lisilushwe live?Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
We mwehu. Umesahau kulikuwa hakuna tozo na ufisadi?Muulize bibi yako maisha yalikuaje wakati wa chama kimoja.
Acha wehu ufisadi ulikuwepo tangu mwinyi akaja Mkapa nafuu imekuwepo enzi za upinzani ndio hata ufisadi umejulikanaWe mwehu. Umesahau kulikuwa hakuna tozo na ufisadi?
Ubongo wako umejaa maviAcha wehu ufisadi ulikuwepo tangu mwinyi akaja Mkapa nafuu imekuwepo enzi za upinzani ndio hata ufisadi umejulikana
Mimi siwezi kukutukana, lakini kama ulizowea kubebwa, katafute bodaboda uwe derevaUbongo wako umejaa mavi
Hoja hapa ni bunge kuisimamia serikaliIngewezekana vipi kuwa na bunge la vyama vingi (wapinzani) wakati nchi ilikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja?
Kwa kifupi sana, katika mfumo wa siasa za Chama Kimoja, huwezi kutofautisha mpinzani na mtawala.
Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
Watu kama wake mlisomea wdemokrasia ya kugombea uraisi na kuvuli badala ya binadamu. Zero testa.Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa watanzania?
Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja.
Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu.
Mnadai kuna demokrasia ili hali pesa za umma zinaliwa.
Dogo hasira za uchaguzi 2020 zinahusiana vipi na ukweli huu?Unatuletea za mwaka 47 hapa, kwani wabunge wa wakati huo walikuwa wanaingia bungeni kwa maagizo ya rais aliye madarakani? Zaidi ya nusu ya wabunge wa sasa wako bungeni kwa maagizo ya dhalimu, watahoji nini? Isitoshe bunge lenyewe ni kibogoyo na majizi ya kura, litahoji nini cha maana?
Inaonekana uelewa wako wa siasa ni mdogo sana, unaweza kuniambia vita ya Hayati Soikoine na wahujumu uchumi ilikuwa ni mwaka jana?We mwehu. Umesahau kulikuwa hakuna tozo na ufisadi?