Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?

Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
 
Huu utambulisho wa yanga yangu mwaka huu hata sijaelewa, walianza kutambulisha wasemaji, wakaja kutambulisha wapishi, wakaja kutambulisha walinzi huku wenzetu wanatambulisha wachezaji sisi tunazunguruka tu hapana waangalie sana tusikate tamaa kama tajiri wa wekundu
 
ACHA KUTUKADILIA YANGA IPO KBLA Y MAYELE
 
Subiri upokee jibu kwa mikono yako miwili usishangae anakujibu “ Sipo nimetoka kidogo na mama yako akirudi muulize tulikua wapi “
[emoji3][emoji3] mbona umeanza wew kuntusi[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?

Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.

Mambo mengine ni aibu kuandika mbele za watu. Sasa Mayele atatambulishwaje wakati ni mchezaji wa Yanga kwa misimu miwili? Hivi hiko kichwa unatumia kufanyia nini? Nilichojifunza, mashabiki wengi wa Simba mnalazimisha upinzani tu na Yanga pia kujiokoteza furaha ambayo mmeikosa kwa muda mrefu.
 
Imekuaje tena huyu kaja yanga kwa Uto?huyu si alikua anatakiwa na Brighton na Union Berlin
 
Huu utambulisho wa yanga yangu mwaka huu hata sijaelewa, walianza kutambulisha wasemaji, wakaja kutambulisha wapishi, wakaja kutambulisha walinzi huku wenzetu wanatambulisha wachezaji sisi tunazunguruka tu hapana waangalie sana tusikate tamaa kama tajiri wa wekundu
Yanga hakuna wajinga kama wewe
 
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka?

Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
Jamaa upo kama sigara kali, wewe si uliyeleta uzi Yanga wamefungiwa kusajili.Sasa hivi umebadilika.
 
Yanga si kafungiwa kusajili kama ulivosema ? Sasa imekuaje tena?
 
Hili jamaa linakaribia kukata tamaa maana si kwa kujipinga lenyewe namna hii
 
Back
Top Bottom