Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kada wa CCM amehukumiwa miaka saba jela na faini ya mamilioni kwa kile kinachosemekana ni kutoa maoni Yake kuhusu Utendaji wa Mwenyekiti wake ambaye pia ni Raisi.
Wapo wanashangilia jambo hili ila ukweli ni kwamba, kama Watu wanazuiwa kutoa "maoni" basi hakuna aliyesalama na ni suala la muda tu utafikiwa.
Inasemekana kuwa alisema "hata hili nalo limekushida"! Kama kweli hiki ndicho alichozungumza na akafungwa miaka saba na faini juu basi tunatakiwa wote kuombolezea.
Kwa mtazamo Wangu, asiyeshindwa jambo ni Mwenyezi MUNGU peke yake, ndivyo wengi tunavyoamini, kwa mantiki hio kama hakukua na kuwindana (maana CCM wenyewe kwa wenyewe hawaachiani Maji mezani) basi tutakua kwenye nyakati za Giza sana.
Tusimame kupigania haki ya kujieleza kwa Uhuru, huyu Mwana CCM ni Binadamu regardless ya maujinga Yao dhidi ya Upinzani ila tuungane kukataa ujinga wa kutishana na kufungana kizembe...who is next?