Tusifurahie kufungwa kwa Mwana CCM, hakuna anayejua atayefuatia....

Vipi mzee magufuli nae alipenda kukosolewa? Acha unafiki wewe
 
Hizi sheria tulizipinga lakiji uvccm walisema wakomeshwe hao.

Ukweli ni kuwa sheria ,iliizotungwa kuanzia 2015 hadi 2020 zikisimamiwa ipasavyo wanaccm wanengi wataozea jela.
Sheria zote zilizopitishwa kwa kilichoitwa hati za dharura ni kitanzi hata kwa waasisi wake japo walijipa kinga zakutoshitakiwa🥱Na siri ya kwanini katiba mpya ni mwiba mchungu ni yaliyolengwa kwenye zile sheria za hati za dharura hapa jobo na aliyekuwa msaidizi wake laana iwafute popote walipo Duniani au kwingineko 🥱
 

Alitakiwa anyongwe. Hao ndio wanatetea uovu nchini .
 
Page ya kwanza imeisha sijui ni nani anayezungumziwa hapa.Kwel mambo mengi yananipita sasa
 
Anayefuatia mwingine yeyote atakayefanya upumbavu km alioufanya huyo aliyefungwa. Huon hata aibu kutetea upuuzi km huo? Umtukane Rais? Hata raia mwenzio huruhusiwi kumtukana au kumdhalilisha. We umekulia mazingira ya aina gani mbona wa hovyo hivyo
 
Are you sure ni mwana CCM? Why would a true CCM go badmouthing his President? Inakuingia akilini, au ni yale ya Hamza. Either way there is no reason to defend idiots or dogooder activists. He got what he deserves, do not ask me to put myself in his shoes because I have no plans to defame Her Excellency.
 
Awamu ya 5 ilikuwepo?
 
Fisi kaanza kutafuna watoto wake kwa kisingizio wananuka harufu ya mbuzi.

Weeeeeeeeeel done, Funga ma CCM yasiyo na adabu
 
Shetani hana rafiki
 
Ni mwanaccm kindaki ndani watu wanamjua vizuri sana
 
Mpaka sasa huna uhakika amefungwa kwa sababu gani? Hapo hapo unatushawishi tulaani hiyo hukumu? Sasa uoni kuwa huo utakuwa ujuha kulaani kitu usichokijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…