Tusifurahie kufungwa kwa Mwana CCM, hakuna anayejua atayefuatia....

Mbona hiyo ni tabia waliyoanzia kwa wapinzani sasa imerudi kuwatafuna wenyewe, hii issue imeonekana ya ajabu kwasababu aliyetafunwa ni mwenzao, lakini kama angekuwa wa tofauti, hakuna ambaye angeshangaa.
Kwani wewe unajua alichofungiwa?
 
Mpaka sasa huna uhakika amefungwa kwa sababu gani? Hapo hapo unatushawishi tulaani hiyo hukumu? Sasa uoni kuwa huo utakuwa ujuha kulaani kitu usichokijua?
Sawa Asante, siko kwenye mood ya kubishana na MBWA! Nimekuelewa Boss
 
Endelea na kiingereza chako cha "ugoko"!
 

Attachments

  • IMG-20221022-WA0015.jpg
    55.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…