Tusiingie kwenye mtego wa kugombana na wazanzibar, Na wazanzibar kugombana na watanganyika

Tusiingie kwenye mtego wa kugombana na wazanzibar, Na wazanzibar kugombana na watanganyika

Sozo_

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
3,248
Reaction score
6,146
Kinachoendelea ukitulia utajua kimepangwa kwa makusudi, akili yangu inaniambia hili jambo limetengenezwa na wanasiasa kutugawa.

Siwezi kujua sana lengo lake ni nini ila ninaamini wajuzi wa mambo wataelewa hichi kinachoendelea, nia yake ni kuvuruga kitu fulani.

Kama tunaweza tusiingie kwenye mtego huu tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe.

Mnakumbuka kuliibuka vita Dhidi ya waislamu na wakristo, GZ walisoma huo mchezo wakalifuta hilo haraka.

Nawasilisha
 
Hakika kwa nini tusi enjoy maisha, tukaacha udini na ukanda bali tunywe, tule na kubambia pisi zenye makebo makubwa, yaani tuenjoy kwa umoja
 
Hakika kwa nini tusi enjoy maisha, tukaacha udini na ukanda bali tunywe, tule na kubambia pisi zenye makebo makubwa, yaani tuenjoy kwa umoja
Enjoy maisha ila uwe makini na hizo pisi zisikutangulize akhera
 
Ni nyie huko Daslam mna bifu na Zanzibar, huku sitimbi hata hajui Zanzibar ni kitu gani
 
Back
Top Bottom