Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Waliomfuata ni.....

Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania.

Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania.

Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania.

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania.

All - Rounder ( alias ) Brainiac: Kaka Muona mbali Kifikra, Mkosoaji wa Upuuzi na Upumbavu unaofanyika na Mshauri Mwandamizi wa Masuala Mtambuka ya Tanzania.

Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa Baba wa Taifa wa Tanzania ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tu na si mwingine na tafadhali hili lisipotoshwe na Wapuuzi fulani waliojawa na Unafiki mwingi Kipindi hiki Kigumu cha Majonzi na Maombolezo.

Imeisha hiyo!!
 
Kwani kuna tatizo mkuu??
Ukiona hadi nimekuja na Uzi hapa jua kuna Upuuzi na Upotoshaji nimeusikia mahala na bado naendelea Kuusikia hivyo natahadharisha tu kuwa hata aje nani na afanye nini Baba wa Taifa wa Tanzania atabakia kuwa Yule Yule Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mpaka dunia itakapopinduka na kuanza upya tena.

Imeisha hiyo Ndugu!!
 
Waliomfuata ni.....

Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania.

Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania.

Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania.

Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania.

All - Rounder ( alias ) Brainiac: Kaka Muona mbali Kifikra, Mkosoaji wa Upuuzi na Upumbavu unaofanyika na Mshauri Mwandamizi wa Masuala Mtambuka ya Tanzania.

Namalizia kwa Kusisitiza tena kuwa Baba wa Taifa wa Tanzania ni Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tu na si mwingine na tafadhali hili lisipotoshwe na Wapuuzi fulani waliojawa na Unafiki mwingi Kipindi hiki Kigumu cha Majonzi na Maombolezo.

Imeisha hiyo!!
Wakikupiga mawe niite.
 
Hao wote hakuna cha maana wamefanya vinginevyo tungekuwa tumetoka kwenye umaskini. Hakuna baba wa kitu chochote.
 
Kabisa na anko wa taifa ni mume wa mama samia
 
Back
Top Bottom