Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Nawasalimu..
Jamaa wapo tayari Bongo, wamekuja mapema sana, huwa hawanaga mbambamba kwenye suala la mtoano.
Winga zao viberenge wenye kasi ya farasi wapo, najiuliza hivi wale wazee wa kushoto Kulia wataweza kuwazuia kweli?
Alafu nasikia wanataka kumtumia yule kipa majeruhi kucheza mechi hii, au wanafikiri wanacheza na singida? Ule ukuta wayeriko bado upo?
Mwishowe, siku ya saba, wakiisha kuuzunguka mji mara saba, tarumbeta yalia, watu wa vita wanapiga kelele, na kuta zaanguka. Ndipo Yoshua anasema: ‘Ueni kila mtu mjini. Okoeni tu fedha, dhahabu, shaba na chuma, mvipeleke kwenye hazina ya hema ya Yehova.’
Asema bwana ndio itakavyokuwa na iwe hivyo.