joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nasikia makomandoo wao wanaomba waachiwe uwanja waulinde,mpira wetu unavituko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa, umemaliza vizuri sana hapo chini.Nawasalimu..
Jamaa wapo tayari Bongo, wamekuja mapema sana, huwa hawanaga mbambamba kwenye suala la mtoano.
Winga zao viberenge wenye kasi ya farasi wapo, najiuliza hivi wale wazee wa kushoto Kulia wataweza kuwazuia kweli?
Alafu nasikia wanataka kumtumia yule kipa majeruhi kucheza mechi hii, au wanafikiri wanacheza na singida? Ule ukuta wayeriko bado upo?
Mwishowe, siku ya saba, wakiisha kuuzunguka mji mara saba, tarumbeta yalia, watu wa vita wanapiga kelele, na kuta zaanguka. Ndipo Yoshua anasema: ‘Ueni kila mtu mjini. Okoeni tu fedha, dhahabu, shaba na chuma, mvipeleke kwenye hazina ya hema ya Yehova.’
Asema bwana ndio itakavyokuwa na iwe hivyo.
Nimeshtuka, nikadhani waarabu wa DPW.Nawasalimu..