Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.
Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Lakini sisi tuliwambia jamani eeh mmeokota galasha mkatubishia.Bwana yule anaboa sana. Kodi zetu halafu anajisifia yeye kwenye kampeni za urais eti kamwaga fedha kufanya hiki na kile kwa miaka 5. Na bila aibu, uwanja wa ndege kajijengea mtaani kwake! TZ tulikosea wapi 2015?
Duh kumbe...!!!Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.
Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.
Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Tangu aanze kampeni mikutano ya hadhara ya Mhe. Lissu inajaza watu wenye hamasa kila kona. Wananchi wanakuja wenyewe kwa maelfu huku kukiwa hakuna matumbuizo ya wasanii, wanamuziki, wachekeshaji, wala ubebaji wa watu kwa malori kutoka sehemu nyingine.
Hii inaashiria kukubalika kwake. Ana mvuto wa kikarisma. Isitoshe, anachozungumza ni madini tupu yanayogusa ubongo na uhalisia. Haijawahi kutokea katika kampeni za urais nchi hii chini ya siasa za vyama vingi.
Historia yake pia ni ya kipekee. Kuna kitu Mungu anataka kuifundisha Tanzania. Tusikaze migumu mioyo yetu.
Ofcourse hawa wakikugusaSpana spana spana spana mkuu kila mtu akishapigwa spana yoyote ile basi akili humrudia,bila shaka na yeye ameshaonja spana iwe direct au indirect kanyyosha mikono na sasa anatumia ubongo kufikiri.
AmeeniWokovu umefika nyumbani kwako Bwana Share, usiiache nafasi hii ikupite. Wajulishe na wengine ukuu wa Mungu.
Spana spana spana spana mkuu kila mtu akishapigwa spana yoyote ile basi akili humrudia,bila shaka na yeye ameshaonja spana iwe direct au indirect kanyyosha mikono na sasa anatumia ubongo kufikiri.
Jpm yeye kazidisha.Hajafikia nusu ya EL
HEIL JPM
Ukiona Giza Linazidi Ujue Ndiyo Kunapambazuka Sasa Hivi, Ameona UkweliJoined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.
Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Kwamba haruhusiwi kubadili mtazamo?Joined nov 2008. Bila shaka una uzoeu mkubwa sana kwenye siasa.
Lakini mkuu wewe si juzi juzi tu ulikuwa Praise team ya JPM? Nini imebadilika?
Jpm yeye kazidisha.