Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Prof Chachage ni mmoja kati ya wahanga wa UKIMWI wa mapema sana. Baada ya ndoa yake kuvunjika miaka ya mwishoni mwa 1990s alikuwa ni mtu wa ku date na changu doa wa zile baa 2 maarufu za Mwenge moja ikiitwa Lufungira na nyingine nimesahau jina.
 
Kifo ni kifo haijalishi sababu.

Ukweli mchungu Prof. Chachage firebrand kama nukuu zake zinavyoendelea kuishi, ataendelea kukumbukwa mno kuliko ma time saver yote:

Uzuri wa harakati za karne hii hata wewe ukiacha woga unaweza hamasisha na kuamrisha kundi kuleta mabadiliko!

Fanya majaribio na hili la kodi na tozo!
 
Uzuri wa harakati za karne hii hata wewe ukiacha woga unaweza hamasisha na kuamrisha kundi kuleta mabadiliko!

Fanya majaribio na hili la kodi na tozo!

Siyo karne hii tu mkuu njia za ukombozi ni zile zile - harakati. Kwani ilikuwa je na kina Nyerere, Mandela, Tutu, Mtikila, Malema au kina Chachage, Raila, Bazigiza, Kimaro nk hata wakatikisa vile na kufanikiwa kwenye zama zao? Kwanini hawakuwa wengine? Hawa wote walikuwa viongozi wa vyama vilivyokuwapo.

Uongozi ni dhamana ambayo umuhimu wake si marupurupu yake tu. Uongozi ni pamoja na misukosuko ya kuongoza harakati kama hizi. Kufa, kufungwa nk ni sehemu ya misukosuko hiyo.

Wote hao walipata misukosuko kweli kweli lakini hawakupoa. Ndiyo maana tunawarejea leo kama watu wa mfano. Hakuna hapo aliyetoka nyumbani kwake tu kuanzisha harakati kama unavyoonekana kukejeli. Kulikuwa na base.

Tulipo inafahamika pia wazi kuwa ni kwa uanaharakati pekee ndipo tutatoka:

CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

Kwani kuna hata haja ya kumung'unya maneno? Kiongozi kama kuongoza harakati za ukombozi unagwaya si unapisha wengine walio na ubavu wafanze hiyo kazi?

Post #13 kwenye uzi huu inajieleza wazi:

Upinzani si Uadui: Julius Malema, Raha siyo Raha?

"Wavumao baharini papa lakini na wengine wapo."

Mbona wengi tu tuko tayari kuongoza harakati kama hizi? Mtupishe tushike hatamu za uongozi tuwaongoze mkiwamo nyie ili tuumalize udhia huu sasa.

Tuachaneni na hoja nyepesi nyepesi kama zako zisizotusogeza mbele kunako ufumbuzi wowote.

Misahafu inasema: "nitampiga Mchungaji na kondoo wa kundi watatawanyika." -- Mathayo 26:31.

Kutokea mitini wataka kondoo wajikusanye?
 
Mtikila kafa kipindi smartphone hazijatapakaa.
Ingekua shida huyu mzee
 
Prof Chachage ni mmoja kati ya wahanga wa UKIMWI wa mapema sana. Baada ya ndoa yake kuvunjika miaka ya mwishoni mwa 1990s alikuwa ni mtu wa ku date na changu doa wa zile baa 2 maarufu za Mwenge moja ikiitwa Lufungira na nyingine nimesahau jina.
Igongwe Bar, ma profesa wengi wa UDSM walipatia UKIMWI pale
 
Mtikila alikuwa mtu na nusu.....aliona vitu vingi ambavyo watu wengi walichelewa kuviona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…