ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga
Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k
CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi
Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao
Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo
Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama