Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Huo mwikoo utakuingia vizuri 25/05 mnyama anaponyanyua kwapa tena KWA MKAPA...
 
Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga

Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k

CAF walipiga marufuku timu bingwa kushiriki mashindano ya shirikisho na kwamba haya mashindano zibaki timu dhaifu pekee ndo maana hapa kwetu Tanzania zilitokea 5imba na Coast waliokuwa wa 3 na 4 kwenye msimamo wa ligi

Kwa ubora wa Young Africans hii ya Sasa katu haiwezi kucheza shirikisho maana kigezo cha kucheza shirikisho ni timu iwe ya 3 au 4 kwenye Taifa lao

Yanga anacheza CAFCL na wakubwa wenzake, hayo mashindano ya CAFCC tumewaachia 5imba, ndo maana sisi tunaona ni mashindano ya ovyo

Tukumbuke CAF wana nia ya kuyafuta mashindano ya shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama
Wakati mwingine jaribu kuficha ujinga wako
 
Tuliishia group stage
Vipi nyie msimu huu mlitia hata mguu CAFCL
Huyu Hana akili, eti club africaine na rivers utd😀 kulikuwa na marumo ambao walikuja kushuka daraja kabisa.

Sisi tunajua fika, sababu ya Tanzania kupeleka timu zaidi ya moja kwenye mashindano ya kimataifa, ni Simba kuongeza thamani ya ligi Kwa kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF champions league. Utopolo ni laana ya ufahamu.
 
Leo mpaka hiyo mimba changa itoke.Mvimba macho anzisha uzi mwingine.Hii haitoshi kimenata.
 
Offside yenyewe ya mchongo StellenBosch vs Makolokolo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside 🤣

Makolokolo bila bahasha ni mwepesi kama kumsukuma Chapombe 😅
Maneno yako tukamulize golikipa wa fontenigeti?
 
Changanyikiweni bila fujo, kaeni kwenye mstari, kila mtu atachanganyikiwa hakuna haja ya haraka.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom