Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Nambie nyie ni looser Gani alikuja kuwapa nyie vibonde huko shirikisho UMISETA
Husomeki. Looser wa klabu Bingwa, Yanga, aliangukia shirikisho kuonea vibonde. Yeye kama bingwa wa nchi, kucheza na timu za shirikisho ni kuwaonea tu. Ndio maana CAF wameondoa hiyo.
 
Offside yenyewe ya mchongo StellenBosch vs Makolokolo isiyoonesha kabla ya mpira kupigwa Wachezaji walikuwa kwenye positions gani ila baada ya kupigwa ndipo mstari unaonesha offside 🤣

Makolokolo bila bahasha ni mwepesi kama kumsukuma Chapombe 😅
 
Sasa huko Champion umeishia wapi? Inaonekana hata huko hukustahili maana hata group stage hukutoboa!
 
Hakuna mtu anaumia hapa jamii forum kuhusu simba kama hii kenge..
Ulisema simba wakimbie south kiko wapi..
Halafu uzuri mechi unaziangaliaga full time..😂😂😂😂
Shirikisho ni mashindano dhaifu zipo timu dhaifu pia
 
Haji Manara 'wenye akili ni wawili tuu '
Baada ya kushindwa kufuzu kwenye klabu bingwa eeh nini kiliendelea??
 
Mtahamishia magoli hadi chooni. Utopolo nyie

Pambaneni na kombe la Muungano vilaza wakubwa nyie. Makundi tu Cafcl mmenusurika kuburuza mkia
 
Kuwa shabiki wa Utopolo Inakupaswa Kuwa Zezeta kwanza Kichwani
 
Nyie mlicheza na washuka daraja marumo. Stelle ni top four pale south kwenye msimamo. Kubalini tu simba walijipanga. Kichaka cha medali kimefyekwa rasmi.
Tulikubaliana Bingwa wenu Yanga SC alivalishwa shanga wala si medani hadi mlilia vilio kila aina kama wehu, imekuwaje leo hii nanyi mfurahie kile kile mlichompondea Yanga SC?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Najua wewe sio mzee manara au kikwete kwahiyo wewe ni miongoni mwa kundi kubwa najua nimeeleweka
 
Kule 5imba huyu mgonjwa hatii mguu ndo maana yupo mashindano ya shirikisho yaani UMISETA
Mwenzio kakuongezea point sijui utamfikia lini?
Huko Champion mwenzio kacheza robo fainali mara nne mfululizo wewe hujatoboa hata makundi et...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…