Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

Huo mwikoo utakuingia vizuri 25/05 mnyama anaponyanyua kwapa tena KWA MKAPA...
 
Wakati mwingine jaribu kuficha ujinga wako
 
Tuliishia group stage
Vipi nyie msimu huu mlitia hata mguu CAFCL
Huyu Hana akili, eti club africaine na rivers utdπŸ˜€ kulikuwa na marumo ambao walikuja kushuka daraja kabisa.

Sisi tunajua fika, sababu ya Tanzania kupeleka timu zaidi ya moja kwenye mashindano ya kimataifa, ni Simba kuongeza thamani ya ligi Kwa kufanya vizuri kwenye mashindano ya CAF champions league. Utopolo ni laana ya ufahamu.
 
Leo mpaka hiyo mimba changa itoke.Mvimba macho anzisha uzi mwingine.Hii haitoshi kimenata.
 
Maneno yako tukamulize golikipa wa fontenigeti?
 
Changanyikiweni bila fujo, kaeni kwenye mstari, kila mtu atachanganyikiwa hakuna haja ya haraka.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…