Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kuna mipumbavu humu imekaririshwa eti hao ndio hawanunuliki. Pumbafu zao....alipokatiwa mshiko akatusaliti na kuhamia kundi la kina mbowe. Kwa taarifa yako unatukumbusha maumivu, ambayo pia yamechangia kuiua chadema tuliyoijenga kwa jasho na damu!
Dah pole mkuu, kumbe kipindi kile tuliumia wengi aisee.Mambo mawili:
1. Unapoanzisha uzi make sure heading inakuwa wazi kwetu wasomaji. Umeandika "Tusimlaumu makamu", mimi nikafungua uzi chapu chapu nikidhani ni Makamu wa Rais, kumbe ni lisu. Acha ulaghai bwashee.
2. Hiyo 👆 wala usingeiweka kama reason ya kumtetea, maana yeye pia alivuta mpunga. Tena mbaya zaidi, mwanzo alikuwa upande wa kundi letu, kundi la Dr Slaa na akina Mnyika, alipokatiwa mshiko akatusaliti na kuhamia kundi la kina mbowe. Kwa taarifa yako unatukumbusha maumivu, ambayo pia yamechangia kuiua chadema tuliyoijenga kwa jasho na damu!
Hili swali kwa kweli limeenda shule aisee.Huwa anaonana nae kila baada ya wiki 3?
Hapa umejibu hoja vizuri sana. Asiekuelewa labda atakuwa amelewa.Kama ni kumuona tu si angetumiwa picha kwa WhatsApp? KENGE
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mkuu. Jamaa wamevuta mpunga na kukisambaratisha chama.Halafu kuna mipumbavu humu imekaririshwa eti hao ndio hawanunuliki. Pumbafu zao.
Niliumia sana kiasi kwamba tangu wakati huo nikaamua kuacha kujihusisha na chama chochote cha siasa.Dah pole mkuu, kumbe kipindi kile tuliumia wengi aisee.
Kwa sasa chama kipo kwenye mikono ya madalali wa siasa, hatuna jinsi tena ya kukirudisha katika dira yake.
Kwa hakika siasa za Tanzania ni michosho sana. Mda mungine zinachosha akili na mwili. Bora ulivyoamua kukaa pembeni mkuu.Niliumia sana kiasi kwamba tangu wakati huo nikaamua kuacha kujihusisha na chama chochote cha siasa.
Sifurahii chadema kufa, lakini ngoja hao madalali wavune walichopanda.
Ahueni ipo haswa kwa mambo mengi mazuri yaliofanywa na serikali ya hayati Magufuli na pia yanayofanywa sasa hivi na raisi Samia.Ninachokubaliana na mada hii ni jambo moja tu; kwamba ile CHADEMA iliyokuwepo nyakati za Magufuli, na hata enzi zile za akina Mihogo haipo tena.
Hapo hapo pia, ni wazi kwamba CCM iliyokuwepo chini ya Magufuli, na hata enzi za akina Mkapa, haipo tena wakati huu wa Samia.
Huu ndio ukweli usiopingika.
Lissu amekuja na kujionea mwenyewe uhalisia huo, na kujikuta kama anapwaya, hana sehemu anayofiti kisawasawa ndani ya CHADEMA mpya, ambayo ipo kwenye mjadala jinsi ya kuungana na CCM ya Samia, ili na wao wale bata.
Baada ya kuyasema hayo, sina hakika kama mleta mada yanampa ahueni sana katika anayoyasimamia yeye, kama kweli anayo.
Chama cha democrasia mwenyekiti toka nazaliwa hadi leo na watoto wakubwa sijawahi sikia mwenyeketi tofauti na mbowe.hiyo democrasia gani sasa.wazungu wanasema charity begins at home.hiki ni chama cha ukoo wa kina mbowe ndio maana mbowe hatoki hapo ukijaribu utakiona chamotoKesi ya Chacha Wangwe iliiendeshwa kwenye mahakama hizi hizi za CCM, kama hukuridhika na hukumu, unaweza kurudi mahakamani ukaweka ushahidi wazi ili muhalifu akamatwe.
Kuhusu Zito katiba ya CDM iko wazi kuwa mwanachama haruhusiwi kukipeleka chama mahakani. Zito alikiuka hili kwa kwenda mahakamani. Hata hivyo hakufukuzwa bali aliondoka mwenyewe ili akaanzishe chama na kupata nafasi aitakayo.
Lisu hana lolote la kupoteza na sio muoga wa kuongea ukweli. Kama alimwambia dhalimu ukweli wake wakati alikuwa anamiliki kundi la watu wasiojulikana, CDM wana nini cha kumtisha? Tafuta propaganda nyingine, hizi ni za kizee mno.
Bora na wewe umemueleza ukweli ndugu yangu. Hawa watu sijui wamelogwa kwa kutumia mzizi gani aisee. Wamekuwa wazito kuuona ukweli machoni mwao.Chama cha democrasia mwenyekiti toka nazaliwa hadi leo na watoto wakubwa sijawahi sikia mwenyeketi tofauti na mbowe.hiyo democrasia gani sasa.wazungu wanasema charity begins at home.hiki ni chama cha ukoo wa kina mbowe ndio maana mbowe hatoki hapo ukijaribu utakiona chamoto
Msitafute sababu zisizo na mashiko kwa CHADEMA kukosa mvuto.Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo juu.
Wana JF wenzangu, siku mbili tatu zilizopita tumeshuhudia lawama, kejeli na vijembe kutoka kwa watu mbali mbali wakimlaumu makamu mwenyekiti wa Chadema mh Lisu kwa kukimbia mapambano mapema na kukiacha chama kikiwa hakina muelekeo wa maana kisiasa. Watu wengi wameonekana kumlaumu makamu huyo bila kujua hasa chanzo halisi na cha kweli kilichomkimbiza m'beleji huyo alieingia nchini wiki tatu tu zilizopita baada ya kukaa Ubelgiji kwa zaidi ya miaka miwili kwa kile kinachofahamika na watu wengi wenye akili kwamba alikimbia aibu ya kushindwa vibaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Ndugu Lisu alipotangaza kuja au alipoingia nchini chawa wengi walionekana kuwa na matumaini nae na kufikiri kwamba makamu huyo anakuja kukijenga tena chama ambacho kinaonekana kimeyumba haswa baada ya kuwa na shutuma kwamba mwenyekiti wa chama hicho taifa amelamba asali na kukiuwa chama kiaina, hali inayopelekea wananchi wengi wakose imani nacho.
Sasa inashangaza makamu huyo baada ya kuingia amefanya mikutano yake miwili mitatu bila kupata support ya aina yoyote kutoka kwa wale aliowatarajia. Lakini ukiachana na hayo ya kususwa katika mikutano hapo chini naorodhesha mambo makubwa yaliomfanya makamu huyo aingie mitini na kukitelekeza chama hicho.
1) Kitendo cha mwenyekiti wa chama kuvuta mpunga na kukikodisha chama hicho kwa Lowasa bado kipo katika akili ya makamu huyu japo kwa sasa hawezi ongea kwa sababu na yeye alimegewa fungu na kujikuta anameza matapishi yake mwenyewe.
2)Kitendo cha mwenyekiti kulamba asali na kuvuta ruzuku za wale covid 19 kimya kimya kupitia account ya uchochoroni pia kimemfanya makamu achukie kwani msimamo wa chama na wa mwenyekiti wa chama ni vitu viwili tofauti.
3) Katibu mkuu wa sasa hana muelekeo, ushawishi na uthubutu kama ule aliokuwa nao yule wanaemwita Dr Mihogo.
4) Chama kukosa muelekeo maana toka ruhusa ya mikutano ianze ni viongozi wachache tu wa chama hicho ndo wamejishirikisha na mikutano ila wengine wanaonekana kuwa busy na mambo yao ya kuwaingizia kipato chao kwa ajili yao na familia zao.
Hakuna mtu mwenye akili angekubali kuja kusimama juani kutwa nzima kusikiliza sera za kupigwa bunduki nk huku watoto nyumbani wakiwa hawajui watakula nini. Wakati huo huyo aliekusimamisha juani watoto wake wako Marekani wanakula bata na tayari wana uraia wa nchi hiyo.
Sababu zilizomkimbiza Lisu ni nyingi ila hizo ni baadhi tu. Siku akitoka chamani au kuachana na siasa atakuwa na mengi ya kuongea. Maana jamaa huwa ni mtu wa visasi kwahiyo naamini na haya yaliomchukiza na kumkimbiza kuna siku atayaongea tu. Let's wait time will tell.
J2 njema.
ha ha haWanakuja
Dah yani ruhusa ya mikutano imevivua vyama vyetu nguo. Ni afadhali katazo lile lingeendelea tu hadi uchaguzi mkuu.Msitafute sababu zisizo na mashiko kwa CHADEMA kukosa mvuto.
Mama Samia kazisambaratisha mbinu zote za wapinzani.
Chama cha democrasia mwenyekiti toka nazaliwa hadi leo na watoto wakubwa sijawahi sikia mwenyeketi tofauti na mbowe.hiyo democrasia gani sasa.wazungu wanasema charity begins at home.hiki ni chama cha ukoo wa kina mbowe ndio maana mbowe hatoki hapo ukijaribu utakiona chamoto
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm. Hivyo ni ruksa kujifariji.Dah yani ruhusa ya mikutano imevivua vyama vyetu nguo. Ni afadhali katazo lile lingeendelea tu hadi uchaguzi mkuu.
Watu waliumia sana. Rafiki yangu Aweda Mikael tangu kipindi hicho hataki kusikia habari ya siasa.Niliumia sana kiasi kwamba tangu wakati huo nikaamua kuacha kujihusisha na chama chochote cha siasa.