Tusimlaumu Makamu, bali tuulaumu uongozi wa juu hata kama haturuhusiwi kuongea ukweli

Chadema kime jaa weu na wendawazimu watupu
 
Ahueni ipo haswa kwa mambo mengi mazuri yaliofanywa na serikali ya hayati Magufuli na pia yanayofanywa sasa hivi na raisi Samia.
Huwezi kufurahia ya Magufuli, na katika pumzi ile ile ukafurahia ya Samia.

Wewe utakuwa huna msimamo wowote. Unayumbayumba tu!
 
Hili nalo neno mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…