Tusimulie love story yako kwa kifupi tujifunze

Pole jembe...infact tafuta mwanamke atakae tambua wewe ni mwanaume...na uache unyonge utanyanyasika.. Nilishawahi kula dem wa mtu kwenye scenario kama yako dem wa dogo mmoja wa chuo alikua exactly kama wako afu jamaa anajishusha sana. Siku nipo geto (tulikua tunakaa same house wapangaji kama watano) naona namba ngeni imenitext..kumbe ni huyo dem alichukuaga namba kwa jamaa yake (wote madent wa chuo). Baada ya kujitambulisha jina nikawa sijamfaham bado maana kiukweli dem nilikuaga simjui jina ila jamaa yake jina nalijua. Ndo akanambia ni mimi housemate ninaekaa na xxxxx. Nikashangaa sana nikajua ni mtego nikawa simpi ushirikiano akaniuliza kama nipo alone nikamwambia ndio (maana nilikuaga naleta madem tofauti sababu nilikuaga nimebreak up na dem nilodhanigi ntamuoa),basi akaomba aje anashida nimsaidie..nikamuuliza kwani jamaa yuko wapi dem akasema hata sijui tulizinguana toka jana akazila hakuniaga.. hapo ndo nikaamini labda si mtego nikamkaribisha akasema usifunge mlango nakuja saa tano hivi (muda huo tunachat ni around saa tatu). Dem kweli kaja na night dress eti alikua anajiandaa kulala so hakai sana,tukaishia kugongana hadi alfajiri akarudi kwake...usiku kwenye story dem ananambia eti nilivyomalaya ananionaga ninavyoletaga madem (dirisha lao lipo kwa uwani sehemu ambayo nilikua napark gari kumbe kila naporudigi dem ananichora).
Jioni jamaa yake akarudi wakaendelea na maisha na dem tukapigiana mute mazima once and for all. Hii story niliwahi ileta jf kitambo kwenye jukwaa la wakubwa so nimejaribu ku-summarize. Ila kiufupi jamaa alikua hanaga sauti kwa dem kutokana tu na lifestyle lao jamaa mara kibao anafanya kazi za kupika na kufua na wote wametoka familia bora
 
Alikuona mnyonge Toka mwanzo hukuwa na sauti kama mwanaume. Ukiingia kwenye mahusiano mapya urekebishe hicho kipengele Cha kumnyenyekea mwanamke had unapoteza uanaume wako.
 

Broh kama unahitaji mbinu za kikatili za kumteka huyo binti sema usaidiwe
 

We mzee utakuja kufariki dunia ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Wa kunifanya niwe baraka ka michelle,tabasamu kama wafungua milango wa five stars hotel
 
We mzee utakuja kufariki dunia ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee, Hamu ya kubahatika kubanjua Bikra ingenipeleka pabaya!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…