Ngoja na mimi nihadithie kidogo but nilijikuta namkubali mpaka sasa lakini ndio hivyo tuliyamaliza... Kama uko humu... Nakukumbuka Daily....
Nilipokea Simu kutoka kwa Incharge mwenzangu alikwenda kwenye kikao Mimi sikuwa nimeenda alikuwa akinipa taarifa kuwa nahitajika kesho yake niende na kikao kitakuwa siku 2.... Lakini kabla hajakata simu akaniambia kuna Pisi kaiona na kaikubali Ila inamzingua hivyo nikienda nimsaidie kuireview kama iko vyema kisha akakata simu....
Kesho ilipofika asubuhi Incharge mwenzangu akapiga simu kuwa nisisahau kwenda ( kwasababu ninatabia ya kupuuzia seminar na vikao kwasababu ya baadhi mambo hayakuniridhisha yanayotokea kwenye vikao huko) nikamwambia nitaenda na akasisitiza nisisahau kuireview ile Pisi aliyoiona kule jana yake ...
Paap nikaenda (Huwa natabia ya kukaa nyuma japokuwa ni mdogo dogo kiumbo) nikaingia nikaketi... Kikao kikaanza text ikaingia ikinikumbusha kuitizama Pisi kama imekuja.... Sasa kwasababu Incharges tunakuwaga na vikao mara nyingi ni rahisi kujua nani mgeni paap nikagundua kuna mmoja mgeni Pisi, nikamuuliza anaitwa nani akaniambia P ... Ooh nikasubiria muda wa kujitambulisha nikaona akajitaja kwa jina lile lile nililoambiwa... Nikamtonya mdau kuwa nimeiona iko vizuri....
Kikao kikaendelea na kikaisha siku msemesha siku ya kwanza, siku iliyofuata nikawa najibu jibu maswali hatimaye siku ikaisha tulipokuwa tunatoka nikamuona na nikamsalimu nikasepa.....
Ilipita week 2 au 3 hivi
Tuko kwenye Group moja la Mkoa WhatsApp Paap... Kuna scenario ilitumwa ikawa inajibiwa kimzaha, ikabidi niijibu kama ilivyopaswa halafu nikawapiga vijembe ma senior.... Watu wakacheka, sasa kuna namba ilikuwa inanisaidia sana kuongezea madini mule nikajiuliza ni nani? Ikabidi niweke Dp On ili kila mtu akicheki profile aone picha na mimi nione zao...
Paap uzalendo ukanishinda, ikabidi ile namba iliyokuwa inanipa backup ikabidi niifuate inbox haikutegemea, ikanisifia kisha tukaagana .... KUMBE NI YULE PISI WA JAMAA ALIYEMUONA....
Jamaa hizo week zote alikuwa analalamika Pisi haimpi ushirikiano (Jamaa alikuwa anatarajia kuoa soon) nikamwambia ongea naye vizur mtaelewana tu.... Na huku hajui kuwa Pisi accidentally niliicheki WhatsApp na daily inanitumia text au inapiga simu kujua nimeamkaje, nimekula nini au nalalaje.... Daily. .. asubuhi mchana na jioni
Nikakaa week mbili hivi nikaanza kumsifia, paap nikamtongoza (nikamwaga sumu zangu) akazingua kwasababu mimi ni dhehebu tofauti ndicho alichokidai .... Kule jamaa kapigwa pia chini (jamaa ni Dini tofauti pia)....
Nikaona ujinga huu na zimeshapita 2weeks anatuma picha za chakula asubuhi mchana jioni na anasisitiza nimtumie ninachokula pia ila uhusiano ndio hataki kuusikia.... Nikaanza kumpotezea na jamaa akaendelea kumtongoza huku akinipa feedback kuwa anaona hafanikiwi....
NOTE; KIPINDI CHOTE HICHO MSHIKAJI HAJUI KUWA DEMU ANANIAMBIA KUHUSU YEYE, NA DEMU HAJUI ANAYEMZUNGUMZIA DAILY NINAMJUA NA NI MSHIKAJI WANGU.... NA MSHIKAJI WANGU HAJUI KUWA DEMU NINACHATI NAYE KILA SIKU.... KWASABABU NILIMUAMBIA MSHIKAJI WANGU KUWA SINA NAMBA ZA HUYO DEMU NA WALA SIKO INTERESTED NAYE KUMBE NI VERS VESA
Paap, Demu akanikatalia mazima... Nikamuacha kimya akipiga naweza pokea au nisipokee au nijibu text au nisijibu....
Siku moja ijumaa akanipigia simu, nilikuwa nimesafiri niko kwa mzee wangu.... Akaniambia amekorofishana na boss wake ila hajisikii kukaa ofisini hivyo anataka kwenda mbali kurefresh na arudi jioni cz anakaa Jirani na Boss wake... Nikamwambia aende nyumbani kwao anaweza Pata relief (akakataa kwenda Home) akaomba nimchagulie sehemu na hiyo sehemu natakiwa nimpeleke Mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah [emoji22][emoji22][emoji22] Damn You P[emoji22][emoji22][emoji22]
Nilimuacha mzee nikamwambia nimepata Mgonjwa wa dharura [emoji22][emoji22][emoji22] kumbe mpuuzi tu nampeleka sehemu....
Nikamwambia tangulia (ili ufike huko ni 3 to 4 hours) akaenda kupanda gari na Mimi nikamuaga mzee nikasepa [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Nimefika maana nilifika saa kumi na mbili hivi jioni, nikamwambia ikifika saa 1 au 2 inabidi nisepe akasema sawa....
Tukapiga story... Ikafika saa 3 usiku nikamwambia siwezi kuondoka ngoja nitafute Room ya kulala kesho mapema niondoke, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akaomba anisindikize halafu yeye arudi kwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akanipeleka nikapata Room [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hakuondoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilichofuata ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] na kelele mingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tukalala ndio mwanzo wa Penzi jpya na Demu wa mshikaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuja kagua simu usiku akagundua kuwa jamaa analalamika so akaona mimi ni mbaya sana....
Tukaongea yakaisha tukasonga miezi kadhaa... Namshukuru Mungu akapata Mimba akaniambia nikafurahi but baada ya 3weeks akaitoa bila kuniambia ila alinijibu Tu kuwa tumbo linamuuma na anashangaa Mimba imetoka...
Nikaona huyu fala, nikamkaripia na nikampiga chini....
Ni 2Years still namkumbuka (mtoto aliyetarajiwa kuja) lakini haikutokea.... Na still namkumbuka cz she's very beautiful and Bright... But her decision is very worse and stupid....