perky
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 286
- 459
Tulimaliza wote 4m four,tukakutana fb tukapeana no,tukawa tunachati Mara moja moja,akanieleza hisia zake by that time nlikua single nkaona nimkubali anicompany,mapenzi yakawa yakuchati tu for two month,nikasafiri one day tukamit.akaniomba mzigo nkagoma,nlivyotoka hapo akawa hanibembelezi tena anachati km anachat n Dada ake, alafu m ndo nikawa naanza kumtafuta daily nkimtafuta story hazinogi nakuwa km na mlazmisha,n mm hisia zkakata nkamwambia tuachane akakubali .nlichukulia pow but nliumia maumivu yalivyozidi after a weak turudiane akagoma.basi maisha yakasonga hadi sasa ni 4 month hatunamawasiliano yeyote