Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
hujaeleza ni kwa kitaalamu ni wapi hicho kiwango cha chini, umeendeshwa na hisia, jazba, hasira,papara ,munkari na mhemko!

Hujui hata hiyo barabara ilijengwa vipi! Nenda kaulize wataalamu hiyo barabara ilijengwa vipi! Kaulize lile eneo likoje halafu ili uweke lami unahitaji nini.

Hapa ni Marekani (Colorado), mafuriko yalileta madhara haya, Marekani ni taifa lililoendelea kwenye kila nyanja, vipi hapa ni kiwango cha chini???
road-damage-610.jpg

Punguza ujuaji wa kishamba!
 
View attachment 2983090

Punguza ujuaji wa kishamba!
Uzi ufungwe 😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi huyo PM si mzaliwa na ni mwenyeji wa Kusini.. Kwanini hataki kuchonga na Bashungwa ili hii barabara ya Kusini ijengwe upya..
Maana nimechunguza hii barabara kutoka Kusini mwa Jiji la Dar yaan Mbagala Rangi3-kokoto-Vikindu-kisemvule-Mkuranga hadi kufika Masasi(Wilaya iliyochangamka zaidi katika Mikoa ya Kusini) barabara inatia huruma sana dadeq
 
hujaeleza ni kwa kitaalamu ni wapi hicho kiwango cha chini, umeendeshwa na hisia, jazba, hasira,papara ,munkari na mhemko!

Hujui hata hiyo barabara ilijengwa vipi! Nenda kaulize wataalamu hiyo barabara ilijengwa vipi! Kaulize lile eneo likoje halafu ili uweke lami unahitaji nini.

Hapa ni Marekani (Colorado), mafuriko yalileta madhara haya, Marekani ni taifa lililoendelea kwenye kila nyanja, vipi hapa ni kiwango cha chini???
View attachment 2983090

Punguza ujuaji wa kishamba!
Inaelekea wewe ni mmoj wa vilaza mliojenga na kuidhinsha uozo wa barabara ya DSM-Lindi-Mtwara.
Hii ni barabara sasa ni kubwa sana kiuchumi, na mlikuwa mnafikiri kama masikini aliyetoka kijijini juzi.
Kwanza tuta la barabara ni dogo sana, pipe culverts zilizooza zikiziba tu maji yanajenga bwawa. Na bwawa likizidi kina cha tuta hapo huna barabara, na ndicho kinachotokea sasa na kila mara pakiwepo mvua.

Pili drainage ni hafifu mno na madaraja karibu yote ni madogo, hayahimili mvua kubwa,. hii ina maana haydrological studies mlizofanya ni hafifu sana, na sijui kama hamkujua kuwa kuna Return Periods ambazo ni disaster.

Tatu , underlying layers ni hafifu mno, ukitoboa hako kalami ka surface dressing maji yanatoka kama chemchemi.

Nne lami mliyoidhinishwa kuwekwa , surfce dressing haikidhi hata kidogo uzito wa magari unaopitishwa , malori ya Dangote na sasa hivi malori ya makaa ya mawe toka Songea.
Sijui mlilewa sifa mlizokuwa mnalundikiwa na yule mwendawazmu, pamoja na minoti mliyokuwa mnajazwa na wachina mfukoni.

Msifikiri hatujui mijumba mliyojijengea kwa hela za wachina.
 
View attachment 2983070

Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.

Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wale wale -wachina.

Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maelfu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.

Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
kwahiyo na huko iringa makambako kuna mafuriko sawa na huko Lindi, right?

au unashauri barabara zijengwe wakati wa mafuriko iwe kama kutafuta nyumba za kupanga wakati wa mvua ili kuona ubora wa kuhimili mafuriko, right?
 
Inaelekea wewe ni mmoj wa vilaza mliojenga na kuidhinsha uozo wa barabara ya DSM-Lindi-Mtwara.
Hii ni barabara sasa ni kubwa sana kiuchumi, na mlikuwa mnafikiri kama masikini aliyetoka kijijini juzi.
Kwanza tuta la barabara ni dogo sana, pipe culverts zilizooza zikiziba tu maji yanajenga bwawa. Na bwawa likizidi kina cha tuta hapo huna barabara, na ndicho kinachotokea sasa kila mara.
Pili drainage ni hafifu mno na madaraja karibu tote ni madogo, hayahimili mvua kubwa,. ii ina maan haydrological studies mlizofanya ni hafifu sana, na sijui kama hamkujua kuwa kuna Return Periods ambazo ni disaster.
Tatu , underlying layers ni hafifu mno, ukitoboa hako kalami ka surface dressing maji yanatoka kama chemchemi.
Nne lami mliyoidhinishwa kuwekwa , surfce dressing haikidhi hata kidogo uzito unaopitishwa , malori ya Dangte na sasa hivi malori ya makaa a mawe.
Sikui mlilewa sifa mlizokuwa mnalundikiwa na yule mwendawazmu, pamoja na minoto mliyokuwa mnajazwa na wacjhina mfukoni.
Kwa sababu 2025 unagombea uRais fanya hicho kuwa kipaumbele Cha jusa 😂😂
 
Usitafute sababu za kuwabebesha watu lawama...

Kama una akili timamu utagundua hiyo siyo barabara ya kwanza kuvunjika kutokana na mvua...

Barabara inayounganisha mikoa ya kaskazini na Dar hukatika mala kwa mala na imejengwa kwa viwango vizuri sana...

Ukielewa nguvu ya maji huwezi kuandika ulichoandika...

Barabara zinakatika USA kutokana na Mvua, unashangaa ya Lindi?

Uko lijinga.
 
Nyie ndio watu wale wajinga wajinga wa THE LOWEST BIDDER!
Sasa kuleni matapishi yenu.
 
View attachment 2983070

Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.

Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wale wale -wachina.

Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maelfu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.

Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Kama hutaki mfumo wa kumpa kazi lowest bidder ..Je unataka mfumo gani utumike?
 
Unajua maana ya value for money..? Kama umesoma procerment utanielewa..

Unataka tumpe highest bidder halafu baadae mje mseme kilomita moja ilijengwa kwa billion 2.5 ...?

Ubongo wako umejaa kokoto
 
Back
Top Bottom