Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
Mbarawa ana madudu yake , yatakuja julikana tu, kama hivi sasa.Waziri alikuwa Mbarawa na alitakiwa mpk sasa awe kizuizini lakini kwa vile ni mtu wa Ijumaa na anatoka sehemu moja na maza hakuna neno
Magu alishadanja hakuna namna, Mbarawa akamatwe kwanzaMbarawa ana madudu yake , yatakuja julikana tu, kama hivi sasa.
Lakini kwa barabara hii, yeye hakuwepo.
Ni Magufuli!
Bagamoyo Msata angalau kwa kuwa naipita kila maraKumfukuzisha kazi RM Lindi ni kukosa BUSARA kwa Bashungwa, hajui au hataki kujua historia ya ujenzi wa hii barabara, hii barabara inafanana kabisa na Ile ya Dodoma -iringa na Bagamoyo-Msata! Naamini wakubwa watanielewa
hujaeleza ni kwa kitaalamu ni wapi hicho kiwango cha chini, umeendeshwa na hisia, jazba, hasira,papara ,munkari na mhemko!Barabara hii imejengwa hini ya viwango.
Huyo ni Kijana wa Zana za KilimoMagu alishadanja hakuna namna, Mbarawa akamatwe kwanza
Uzi ufungwe 😂😂😂😂😂😂😂hujaeleza ni kwa kitaalamu ni wapi hicho kiwango cha chini, umeendeshwa na hisia, jazba, hasira,papara ,munkari na mhemko!
Hujui hata hiyo barabara ilijengwa vipi! Nenda kaulize wataalamu hiyo barabara ilijengwa vipi! Kaulize lile eneo likoje halafu ili uweke lami unahitaji nini.
Hapa ni Marekani (Colorado), mafuriko yalileta madhara haya, Marekani ni taifa lililoendelea kwenye kila nyanja, vipi hapa ni kiwango cha chini???
View attachment 2983090
Punguza ujuaji wa kishamba!
Hatari snHuyo ni Kijana wa Zana za Kilimo
Dah una mambo ya kipumbavu sanaWaziri alikuwa Mbarawa na alitakiwa mpk sasa awe kizuizini lakini kwa vile ni mtu wa Ijumaa na anatoka sehemu moja na maza hakuna neno
Inaelekea wewe ni mmoj wa vilaza mliojenga na kuidhinsha uozo wa barabara ya DSM-Lindi-Mtwara.hujaeleza ni kwa kitaalamu ni wapi hicho kiwango cha chini, umeendeshwa na hisia, jazba, hasira,papara ,munkari na mhemko!
Hujui hata hiyo barabara ilijengwa vipi! Nenda kaulize wataalamu hiyo barabara ilijengwa vipi! Kaulize lile eneo likoje halafu ili uweke lami unahitaji nini.
Hapa ni Marekani (Colorado), mafuriko yalileta madhara haya, Marekani ni taifa lililoendelea kwenye kila nyanja, vipi hapa ni kiwango cha chini???
View attachment 2983090
Punguza ujuaji wa kishamba!
kwahiyo na huko iringa makambako kuna mafuriko sawa na huko Lindi, right?View attachment 2983070
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wale wale -wachina.
Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maelfu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.
Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Kwa sababu 2025 unagombea uRais fanya hicho kuwa kipaumbele Cha jusa 😂😂Inaelekea wewe ni mmoj wa vilaza mliojenga na kuidhinsha uozo wa barabara ya DSM-Lindi-Mtwara.
Hii ni barabara sasa ni kubwa sana kiuchumi, na mlikuwa mnafikiri kama masikini aliyetoka kijijini juzi.
Kwanza tuta la barabara ni dogo sana, pipe culverts zilizooza zikiziba tu maji yanajenga bwawa. Na bwawa likizidi kina cha tuta hapo huna barabara, na ndicho kinachotokea sasa kila mara.
Pili drainage ni hafifu mno na madaraja karibu tote ni madogo, hayahimili mvua kubwa,. ii ina maan haydrological studies mlizofanya ni hafifu sana, na sijui kama hamkujua kuwa kuna Return Periods ambazo ni disaster.
Tatu , underlying layers ni hafifu mno, ukitoboa hako kalami ka surface dressing maji yanatoka kama chemchemi.
Nne lami mliyoidhinishwa kuwekwa , surfce dressing haikidhi hata kidogo uzito unaopitishwa , malori ya Dangte na sasa hivi malori ya makaa a mawe.
Sikui mlilewa sifa mlizokuwa mnalundikiwa na yule mwendawazmu, pamoja na minoto mliyokuwa mnajazwa na wacjhina mfukoni.
Poa dada anguDah una mambo ya kipumbavu sana
Nyie ndio watu wale wajinga wajinga wa THE LOWEST BIDDER!Usitafute sababu za kuwabebesha watu lawama...
Kama una akili timamu utagundua hiyo siyo barabara ya kwanza kuvunjika kutokana na mvua...
Barabara inayounganisha mikoa ya kaskazini na Dar hukatika mala kwa mala na imejengwa kwa viwango vizuri sana...
Ukielewa nguvu ya maji huwezi kuandika ulichoandika...
Barabara zinakatika USA kutokana na Mvua, unashangaa ya Lindi?
Uko lijinga.
Kama hutaki mfumo wa kumpa kazi lowest bidder ..Je unataka mfumo gani utumike?View attachment 2983070
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale.
Barabara hii imejengwa chini ya viwango.
Na tukumbuke waziri aliyehusika na barabara hii kwa kupewa misifa mingi isiyo stahili.
Barabara ina katika kila leo kwa mvua ambazo ilistahili kuhimili.
Kiwango cha ujenzi wa barabara hii huwezi kabisa kulinganisha na kiwango cha kwa mfano Iringa akambako.
Wakandarasi ni wale wale -wachina.
Serikali ijionee sasa na msimamo wake usioendelevu- ati anapewa kazi-LOWEST BIDDER!
Ujinga huu sasa unasababisha usumbufu kwa maelfu ya wananchi, ukiacha ajali zinazosababisha vifo kutokana na barabara kutokidhi viwango.
Tunavuna tulichopanda kwa misifa isiyostahili.
Uko lisenge...Nyie ndio watu wale wajinga wajinga wa THE LOWEST BIDDER!
Sasa kuleni matapishi yenu.
Unajua maana ya value for money..? Kama umesoma procerment utanielewa..Kama hutaki mfumo wa kumpa kazi lowest bidder ..Je unataka mfumo gani utumike?