Tusingetawaliwa na wakoloni kama babu zetu wote wangepambana kidete na wazungu wavamizi.

Tusingetawaliwa na wakoloni kama babu zetu wote wangepambana kidete na wazungu wavamizi.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa,
1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora
2. Chifu Mkwawa- Wahehe
3. Mangi Meli, Sina& Co-Uchagani, Meru, Arusha
4.Kinjekitile & Co-Wangindo, Wangoni
5.Chifu Machemba-Wayo Lindi
6.Mtemi Abushiri-Waswahili wa pwani Pangani na Waarabu

Sasa fikiria katika nchi kubwa hivi wazungu walipata upinzani kwa hawa wachache tu wengine wakiwa wanashangaa tu badala ya wao nao kulianzisha pande zao, sio ajabu ilikuwa rahisi sana kutawaliwa na wakoloni.
 
Duh nikirejea historia ya India ilivyokuwa inapambana na ukoloni na bado wakatawalia nawasamehe tu wahenga zetu.
 
Back
Top Bottom