Lugha hizi ndizo tunazozielewa:
Hizi ndiyo zile lugha za watu zikiitwa lugha za Mungu. Beberu akiziita:
"Languages of the people."
Hizi humfanya adui macho kumtoka mithili ya mjusi alobanwa na mlango.
Kwamba ni mpigania haki? Mzalendo? Mwenye kukerwa na ghiliba za majizi?
"Ushindwe vipi kumwelewa Dkt. Slaa?"
Kwamba Dkt. Slaa aliwahi kutukosea? So what? Hatuhitaji malaika hapa!
Kwao wote waliowahi kutukosea au ambao hawakuwahi kutukosea: muhimu kwetu ni nini wanafanya au kusema sasa.
"Malaika maisha ya duniani si yao. Hata Messiah hakuja Kwa wenye haki."
Bravo: Dkt. Slaa, Dkt. Nshala, Mwabukusi, Kamanda Mdude na wa namna hiyo.
Mlipo tupo!
Ninakazia:
Dhidi ya ma CCM hatuna rafiki wala adui wa kudumu ila agenda na malengo!