4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mkuu kuna watu wajinga sana wanafikiri pafupi , ukiona Chama kama Chadema kipo hatua hii, jiulize kimeanza mwaka gani, kimepitia yapi, why kinapendwa , na kwa nini kimesimama ,sasa badala ya kuunganisha nguvu, watu wanakuja na hoja za kiwendawazim kwa watu wenye akili,Kuanzisha chama inaweza kuwa siyo suluhu kwa maana vilivyopo having mwenyewe:
Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM
Kusimamisha chama katika level amefikia chadema tena kwa zama hizi sio kazi ndogo, mavyama mengine yapo tu, sasa wakajidanganye na hao sijui na sauti ya watanzania waanzishe chama , tuone watafika wapi.
Kwanza tafasiri nyepesi inakua ni uroho usiokuwa na tija , pili wannchi walishapata maumivu na mavyama ya mchongo, ila mbaya sana watz wa leo sio wale zama zile ,
Ni mpumbavu pekee anaeamini kwamba kuanzisha chama ndo suluhu, badala ya kuunganisha nguvu kwa pamoja katika chama chenye nguvu ili timiza malengo