Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa

ewaaaa hapo sawa
 
Vyovyote vile namuungs mkono Dr. Slaaaa!
 
ewaaaa hapo sawa

Kuna hii mijumbe kama Mmawia na wenzake.

Wajumbe kama hawa ni muhimu kuwalamba hata viboko vya makalio wakakaa sawa.

Wanatuchelewesha sana kwenye safari ya ukombozi kwa kutokumjua na kukomaa na adui yetu peke yake.
 
Huyu mzee ana madini sana.
 
Slaa ni msaliti kama vile Yuda na hana tofauti na Ruyagwa
Kwa nyinyi mlioshikiwa akili endeleeni kujaza matope vichwani ila wenye akili tutamfuata popote alipo.Nyinyi endeleeni kupayuka na gia zenu za Angani
 
Anasumbuliwa na njaa
Huyu hana njaa kama ya Mbowe!
Mwenye njaa ni Mbowe anayenunulika na Kina Lowassa na yule Mnyaturu aliyewakimbia baada ya kuona mfuko unatepeta kwa kasi.

Dk Slaa ni Mzalendo na angekuwa na njaa angekwisha pokea hii ya DP-WORLD maana iko nje nje.
Chadema adui yenu ni Mwenyekiti wenu anayeishi na Chama kama SACCO!
Tumieni akili za kuitazama future ya nchi badala ya kuongeza idadi ya Maadui kila uchao.
 

Kwani Mbowe ametamka wapi kumhusu Slaa kama huyo ndugu?

Si tulikubaliana Kila mtu kuubeba mzigo wake? Kulikoni kumbebesha Mbowe mzigo wa huyo bwana?

Kwa mtaji huo wewe unaweza kuwa mburula kuliko huyu!
 
Kwa nyinyi mlioshikiwa akili endeleeni kujaza matope vichwani ila wenye akili tutamfuata popote alipo.Nyinyi endeleeni kupayuka na gia zenu za Angani
Ukimsapoti Slaa basi huo ni uamuzi wako na hakuna anayekukataza ila mimi kwakuwa nazijua gharama za kuwa mpinzani kamwe siwezi kumuonea huruma Slaa
 
Labda mzalendo wa nyumbani kwenu kibaigwa
 
Ukimsapoti Slaa basi huo ni uamuzi wako na hakuna anayekukataza ila mimi kwakuwa nazijua gharama za kuwa mpinzani kamwe siwezi kumuonea huruma Slaa

Tunaunga mkono anachosema ndugu. Na huo ndiyo ulio msimamo wetu.

Hata akisema Hivyo Samia, Msukuma au Majaliwa tutawaunga mkono.

Wakimpinga Slaa kwa anachosema hata kama ni Mbowe au Lissu tutawatupia vilago.

Habari ndiyo hiyo.
 
Mwenye Klipu ya huyu babu wakati amehongwa ubalozi na alipoulizwa juu ya haja ya kuwa na katiba mpya na akajibu kuwa Katiba mpya sio muhimu atuwekee hapa.
Yaani huyu Mzee baada ya kutoswa ubalozi ndo anaropla maneno yote haya😃. Cha kufurahisha CHADEMA wameshamshtukia hivyo issue ya IGA na katiba mpya ndo ameona njia yake ya kutokea
 
Baniani mbaya kiyatu chake dawa #Slaa asamehewe
 
Brazaj, ogopa sana watu wa aina Dr. Slaa, Bashiru, Polepole, Kabudi ......ni watu wasiyo simamia wanachokiamini. Kama ni manahodha wako tayari kutosa chombo na abiria ili wajiokoe wao peke yao wakati wa dhoruba, kama ni makamanda wanaweza kukitosa kikosi ktkt ya mapigano. Wana lugha nzuri lakini hawafai
 
Wasiwasi wang ni je.. baada ya kupata chemba ya ulaji ataendelea kusimamia misingi hii? Cz yaezekana akapata post ya kula maisha mazur, ataendeleza hizi mbanga?

Kuna kisichoeleweka hapa?

Hatuna rafiki wala adui wa kudumu ila agenda.

Unataka nini zaidi ya hayo ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…