Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,498
- 3,881
Nipe connection mkuu,nimechoka kitaa huku.Kituo cha kwanza ukipangiwa kibondo dc near burundi. Na upgwe desh miez miwili na hakuna kujikimu na ukaendelea kufura tutakuombea uteuliwe uwe kmk.
Asante mkuu,lakini ashibaye hamjui mwenye njaa.Pole sana! Ila mawazo kama yako ndio yanaiweka ccm hapa ilipo. Free and easy ride!