Tusio na magari tukutane hapa

Tusio na magari tukutane hapa

Dahh!! Umeuchana ukweli wenyewe, gari si lolote linapokuja suala la usafiri wa ndani ya mji au mkoa ni sawa tu na kumiliki pikipiki, gharama zake ni kubwa sana halafu unakuta mmiliki ni ticha wa shule ya msingi lazima akili zimkae vzr, kabla ya kununua gari jenga kwanza nyumba ya kuishi na uwe na biashara iliyonyooka.
Kwa hili watakuelewa wachache kaka ila ndio ukweli wenyewe huu.

Japokuwa kwenye miji yenye shida ya usafiri walio wengi wanaona wakose vyote ila sio gari la kwendea kwenye mishe.
 
Back
Top Bottom