Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mie hata baiskeli ya kuchora sina
Kwa hili watakuelewa wachache kaka ila ndio ukweli wenyewe huu.Dahh!! Umeuchana ukweli wenyewe, gari si lolote linapokuja suala la usafiri wa ndani ya mji au mkoa ni sawa tu na kumiliki pikipiki, gharama zake ni kubwa sana halafu unakuta mmiliki ni ticha wa shule ya msingi lazima akili zimkae vzr, kabla ya kununua gari jenga kwanza nyumba ya kuishi na uwe na biashara iliyonyooka.