Ahaaa hapo sawa.Hapana mama angu sikucheki ujue hizo zipo kwenye kilimo zinafanya kazi ila anasemea gari ambayo unaendesha mwenyewe
Sasa hiyo sinaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa hapo sawa.Hapana mama angu sikucheki ujue hizo zipo kwenye kilimo zinafanya kazi ila anasemea gari ambayo unaendesha mwenyewe
Asanteeee well said nyumba ndo kila kitu gari mbwembwe tuMm ndoto ni Nyumba sio gar nataka niitwe baba mwenye nyumba sio baba mwenye gari
Tujikite kwenye mada husikaCulture gal ni wa kiume au kike?
Au vice versa....Kwa sisi tusio na private car tunaenjoy sana daladala kwanza tunapata kufamiana na watu mbalimbali humo kwa daladala bila kusahau vituko vilivyomo unaweza panda daladala na stress ukashuka stress zote zimeisha
Upakate fuko la matikiti wakati umepiga min skirt lako.ha ha ha haAu vice versa....
kuna siku moja mmama mmoja akataka nimbebee fuko lake la matikiti i was like "whaaaaaaat"
Kisa yeye kasimama me nimekaa basi nilivyokataa alinivurumishia mijitusi hiyo hahaha kama kawaida raia hawapo nyuma kununua kesi, wakaanza kunitetea me nikaishia kucheka tu ila nilishangaa sana.
Hahahaha daladala zina vituko aiseeee.Upakate fuko la matikiti wakati umepiga min skirt lako.ha ha ha ha
Basi tupo kundi moja wote hatuna magariAhaaa hapo sawa.
Sasa hiyo sinaaaaa
Sasa vits nayo ni gari?!Napambana ninunue hata vits kwa jasho ila si kucheza biko na kubet
Sio gari ni gutaSasa vits nayo ni gari?!
Haina tofauti na gutaSio gari ni guta
hata hapa jf wote maisha safi..inasemekanainstagram kule laha sana kila mtu anamaisha mazuri [emoji3][emoji3]