Tusio na michepuko tukutane hapa

Tusio na michepuko tukutane hapa

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Posts
2,452
Reaction score
2,197
Wanajamvi naomba kujua inawezekana vip ?kukaa bila kuchepuka .kulingana na utandawazi na vishawishi tunavyopata kutoka kwa dada zetu.me napata wakati mgumu kuvumilia labda nisiwe na mia mfukoni tofauti na hapo me nashindwa kabisaa.mwisho wa siku hakuna faida ninayopata
 
kuna mambo mengi ya kufanya huku duniani mkuu? mi mambo mangapi ya muhimu na huna .mbona hujiulizi hayo?
 
Mbona heading haiendani na ulichoandika!!!
Omba mods wakusaidie kuibadili.
 
Kwamba kuoa na kuolewa ni haki ya msingi ya binadamu asiye na tatizo la kiafya ama nadhiri ya kidini na kwamba wanawake kwa takwimu zisizo rasmi wapo mara tano kulinganisha na wanaume kwa uwiano wa dunia, sasa ikiwa kila mwanamume ataamua kuoa mwanamke mmoja na akawa na msimamo wa kutochepuka huoni kuna watakaokosa haki za msingi?

USULI : Isaya 4:1
1Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
 
Kwa maisha haya haitakiwi kuitatain hii tabia ya kijinga ya kuchepuka la sivyo dhiki , njaa ,ugomvi usio na kichwa wala miguu kwenye familia zetu hautaisha
 
Back
Top Bottom