Tusio na muonekano mzuri kwenye picha tunanyanyasika mtandaoni

Sasa si kutakuja muda wa kuonana live , na atashindwa kuji edit?
Yaan iko hivi, akiwa live sura yake iko poa na inavutia lkn akipiga picha haipendezi hata siku 1, na kuna watu ukikutana nao wana sura mbovu lkn akikutumia picha kama ni demu utasema nakufa na huyu.
 
Kwani filters zinakazi gani...hakuna mbaya filters are there to save us ...
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125]
 
Pole sana, nikushauri tu kwamba:
1. Anza kufanya mazoezi kila siku uutengeneze mwili wako ukae vile unahtaji ( hii ni kwa both male and female)
2. Vaa ngua zinazokutosha, i mean ngua zinazoendana na mwili wako na umri wako ( sio binti wa 22 unavaa manguo kama ya mmama au kijana wa 22 unavaa mabuga)
3. Tengeneza nywele zako atleast mara moja kwa 2 weeks, hii itakufanya haiba isipotee usoni hata ukipiga picha itatokea fresh.
4. Tumia mafuta mazuri kwenye ngozi na nywele uonekane nadhifu, i mean ngozi isiwe na mabaka na nywele ziwe nyeusi
5. Vaa accessories kama saa, kalcha n.k hii inakuongezea kua photogenic kwenye picha

N.B sio mpaka uvae vitu vya bei ghali, kumbuka unaweza nunua vitu vya bei juu na usipendeze. Kua presentable tu inatosha

Chamwisho, Camera unayotumia pia iwe nzuri tumia Iphone, Google pixel au Samsung ndo znatoa picha nzuri za kueditika ukapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Asantee studio
 
Pesa unayo???

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani unaenda location unapiga picha 40 ukifika nyumbani zimebaki 2[emoji28][emoji28]
 
Emu weka picha tuone

Kama na sisi wasomaji tutakimbia kucomment
Nikiweka picha inaweza kutumika kama reference ya watu wanaotakiwa kutafuta pesa kwa jasho na damu kutokana na muonekano wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…