On This One
JF-Expert Member
- Nov 30, 2021
- 532
- 469
Pole wanakuona sura mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka ya nyuma na mimi nilikuwa sipigi picha kabisa lakini baada ya kupata vijisenti kidogo nikaanza kupiga picha......tafuta hela upige pichaMi na picha ni vitu viwili tofauti...
Sijui siku nikidanja wahuni watakusanyia nini michango
Yaan iko hivi, akiwa live sura yake iko poa na inavutia lkn akipiga picha haipendezi hata siku 1, na kuna watu ukikutana nao wana sura mbovu lkn akikutumia picha kama ni demu utasema nakufa na huyu.Sasa si kutakuja muda wa kuonana live , na atashindwa kuji edit?
unaeza kuta pua tyuEbu weka picha hapa Ili tujue ukubwa wa tatizo
Yan unamaanisha uso mzima imetapakaa tu pua...!!!..aisee na nyie mlivyokuwa wabaguzi??unaeza kuta pua tyu
Kwani filters zinakazi gani...hakuna mbaya filters are there to save us ...Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika hachat vizuri kama mwanzoni alipokua hajaona sura yako, na anaweza aka ku ghost kabisa
Social media are so harsh to us
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125]Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika hachat vizuri kama mwanzoni alipokua hajaona sura yako, na anaweza aka ku ghost kabisa
Social media are so harsh to us
Asantee studioPole sana, nikushauri tu kwamba:
1. Anza kufanya mazoezi kila siku uutengeneze mwili wako ukae vile unahtaji ( hii ni kwa both male and female)
2. Vaa ngua zinazokutosha, i mean ngua zinazoendana na mwili wako na umri wako ( sio binti wa 22 unavaa manguo kama ya mmama au kijana wa 22 unavaa mabuga)
3. Tengeneza nywele zako atleast mara moja kwa 2 weeks, hii itakufanya haiba isipotee usoni hata ukipiga picha itatokea fresh.
4. Tumia mafuta mazuri kwenye ngozi na nywele uonekane nadhifu, i mean ngozi isiwe na mabaka na nywele ziwe nyeusi
5. Vaa accessories kama saa, kalcha n.k hii inakuongezea kua photogenic kwenye picha
N.B sio mpaka uvae vitu vya bei ghali, kumbuka unaweza nunua vitu vya bei juu na usipendeze. Kua presentable tu inatosha
Chamwisho, Camera unayotumia pia iwe nzuri tumia Iphone, Google pixel au Samsung ndo znatoa picha nzuri za kueditika ukapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Yaani unaenda location unapiga picha 40 ukifika nyumbani zimebaki 2[emoji28][emoji28]Yani ambao hatupo photogenic, tunaopiga picha kama tunalia na sura zetu personal tunanyanyasika sana, unawasiliana na mtu vizuri, ikifika kipengdle cha picha unashangaa ghafla mtu amebadilika hachat vizuri kama mwanzoni alipokua hajaona sura yako, na anaweza aka ku ghost kabisa
Social media are so harsh to us