Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

Mzee nenda Manyara,ndo utakutana na Kisonono ushangae.
Mpaka Mbwa,wana chao.
 
Maneno tu hakuna kitu. Ni kama ilivyokua inasifiwa pweza, kwani leo haisifiwi ama pweza wameisha baharini?

Zamani ilikua mayai ya kware, siku hizi unasikia hilo ama kware hawapo tena?

Hilo vumbi la kongo ama kasongo 7 hakuna kitu chochote.
najitolea kukupa akiba yangu ili tu ulete mrejesho ila uwe unajiweza mkuu maana utatomba usiku mzima bila kukojoa .
 
Hii thread imenichekesha sana[emoji23][emoji23]
 
Maneno tu hakuna kitu. Ni kama ilivyokua inasifiwa pweza, kwani leo haisifiwi ama pweza wameisha baharini?

Zamani ilikua mayai ya kware, siku hizi unasikia hilo ama kware hawapo tena?

Hilo vumbi la kongo ama kasongo 7 hakuna kitu chochote.

Haya ni maneno ya mtu ambaye hajawahi kutumia vumbi la kongo

Vumbi ni balaa tukuambie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…