Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

2016 bado kisonono kilikuwepo nchini na elimu yote hii ya ukimwi inayotolewa bure? You are not serious. Kisonono ilikua kabla ya ukimwi.
Ina maana wewe hapo ulipo unaweza kua na vidudu vinavyo nyevua nyevua kwenye damu yako. Nakushauri uanze ARV. Siku ukipata mkanda wa jeshi andika wosia.
Mzee nenda Manyara,ndo utakutana na Kisonono ushangae.
Mpaka Mbwa,wana chao.
 
Maneno tu hakuna kitu. Ni kama ilivyokua inasifiwa pweza, kwani leo haisifiwi ama pweza wameisha baharini?

Zamani ilikua mayai ya kware, siku hizi unasikia hilo ama kware hawapo tena?

Hilo vumbi la kongo ama kasongo 7 hakuna kitu chochote.
najitolea kukupa akiba yangu ili tu ulete mrejesho ila uwe unajiweza mkuu maana utatomba usiku mzima bila kukojoa .
 
Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani.

Chanzo: marathonioverstz

Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe za Dar es Salaam.

Na leo nimejua kwanini Mtangazaji Mmoja maarufu mno nchini wa Michezo Tanzania ( Kidoti Boy ) anasafiri sana Marekani na Kupendwa na Wazungu ( hasa Wazee ) na humlipa Pesa ( Madola ) mengi kwa 'Kuwashughulikia' ipasavyo.

Akirejea Tanzania Yeye 24/7 ni Kukimbia tu Coco Beach hadi mitaa yake ya Slip Way Masaki ili kujiweka Fiti kwa Wazungu wake wa Marekani wakati Wabobezi wa Kitu cha Mkongo' tunabaki hapa hapa tu Bongo na Mademu Wetu ambao huwa tunawakomoa na Wao pia wanatukomoa kwa Kutupa ( Kutuambukiza ) Migono na Mikaswende yao mpaka wengine sasa Dawa zote za Magonjwa ya Zinaa kama Cipro, Amplicloxy na Metronidazole tumeshazikariri zote Vichwani mwetu na tukienda tu Pharmacy Dawa zenyewe zinaanza kuchezacheza Kabatini kuashiria kwamba zimejua kuwa tumezifuata tuzitumie kwa Ubishi wetu wa Kutokuvaa Kofia za WHO ( Condoms ) na Kupenda kwenda Peku Peku ( Dry Chama ) pindi tuonapo Mbunye zimenona na Kulainika tayari.

Hii thread imenichekesha sana[emoji23][emoji23]
 
Maneno tu hakuna kitu. Ni kama ilivyokua inasifiwa pweza, kwani leo haisifiwi ama pweza wameisha baharini?

Zamani ilikua mayai ya kware, siku hizi unasikia hilo ama kware hawapo tena?

Hilo vumbi la kongo ama kasongo 7 hakuna kitu chochote.

Haya ni maneno ya mtu ambaye hajawahi kutumia vumbi la kongo

Vumbi ni balaa tukuambie tu
 
Back
Top Bottom