Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Kitu dragon nishakipiga sehem hivi usiku halaf nikamiss gemKungFu au DragoN
Chukua ushauri wa jamaa hapaa.Kwenda bar au kutotumia kilevi si tatizo, tatizo ni kupoteza muda mrefu na walevi huku wewe ukijaza tumbo kwa soda au mijuice.
Nenda bar kwa shughuli maalum kwa kula au maongezi yenye tija, ukimaliza we sepa waachie meza zao walevi la sivyo utaona tu wanakukera...
Hizi zimekua adimu sana sijui kwa ninibaltika mzee