Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Shwepsi Novida au Novida tuEmbu anndika hiyo ya tatu inavyotamkwa kwa kiswahili..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shwepsi Novida au Novida tuEmbu anndika hiyo ya tatu inavyotamkwa kwa kiswahili..
Togwa dadeqSalaaam wakuu.
Mimi sio mlevi wa pombe ila Nina kilevi changu, na kuacha haiwezekani.[emoji14]
Back to topic.
Nmekua mtembeleaji mzuri wa bar ila sasa napata shida linapokuja suala la kuagiza kinywaji hasa ninapokua na marafiki zangu ambao wengi ni wanywaji.
Sasa nmeona haya maji na juice vimekua common kila "out" juice tuuuu. Maji tuuuu. Mpaka najikuta natengwaaa.
Hebu tupeane uzoefu kuna kinywaji ambacho sio kilevi kinaweza kua mbadala wa juice na maji hata kama ni expensive? Achilia hizi common Bavaria...?
Basi hizo zitakuwa na shida kubwaMdogo wangu alikunywa Dragon akazimia
Huu ni ukweli mtupu ingawa wapingaji hawakosiKama hunywi pombe kinywaji pekee chenye tija mwilini ni Maji ya Kilimanjaro, vilivyobaki vyote sijui redbull, dragon, azam energy ni kifo nje nje!
Na ilikuwa mara ya kwanza ujue, huwa natumiaga redbull mie.... Ila ule mkopo ni mkubwa mnooo labda ndo maana!!
Mi pia mwaka huu naiweka kando2018 pombe nimeshaipiga teke kwa upande wangu naiona haina faida kwa sasa japo nateseka sana katika kipindi hichi kifupi lakini najipa moyo nitashinda tu ya ni mwendo wa ceres juice mpaka nifanane nazo
[emoji23][HASHTAG]#mbege[/HASHTAG]
mkuu sasa kama unaogopa sukari mbona hizo bia ndo zina sukari nyingi mno tena ile yenyewe natural sugar ambayo wataalamu wanasema ndo inasababisha kisukari fasta,,au hujawai skia kwamba wanywaji wa bia ndo wapo kwenye htr kubwa yakupata kisukariMi nakunywa Safari Lager tu hizi pombe mi stumiagi kabisa. Hata soda, juisi sipendi sana mana kuna kisukari, presha low libido etc