Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Nashukuru Mungu ninaenda kumaliza mwaka sasa toka niache matumizi ya Soda.

Kinywaji changu ni Maji hakuna kingine tofauti na hicho.
 
Watu wasiokunywa pombe wana roho mbaya sana... Hata kukupa offer ya soda huwa hawawezi
 
Asee agiza uji Lita mbili wa motooo unashushia taratibu tuu waache hao walevi wanywe hata kreti watakukuta bado unapuliza tu bakuli lako
 
Kwenda bar au kutotumia kilevi si tatizo, tatizo ni kupoteza muda mrefu na walevi huku wewe ukijaza tumbo kwa soda au mijuice.
Nenda bar kwa shughuli maalum kwa kula au maongezi yenye tija, ukimaliza we sepa waachie meza zao walevi la sivyo utaona tu wanakukera...
Chukua ushauri wa jamaa hapaa.
 
Unaweza pita pia hapa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom