Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Sio mpenzi wa vitu vyenye sukari sukari kama soda,malta na hizo pia.

Sasa mamii unataka nami nilazwe?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hahaha
Mie sikuwahi kunywa hiyo... Aki ni zaidi ya redbull auntie na kopo lake ni kubwa mnoo
 
I used to drink savannah...but na Mimi huu mwaka 2018 nimepiga chini sitaki aina yeyote ya alcohol hata kama ina 1% sitaki..na hao mashost chapombe nimewapiga chini

Mambo ya kujiendekeza tu, eti pombe mtu huwezi acha!
Stress zako usifananishe na mambo ya maana kama kitungi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…