Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Bar?[HASHTAG]#mbege[/HASHTAG]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bar?[HASHTAG]#mbege[/HASHTAG]
Haina Alcohol?Redbull
HahahaSio mpenzi wa vitu vyenye sukari sukari kama soda,malta na hizo pia.
Sasa mamii unataka nami nilazwe?[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
HainaHaina Alcohol?
Unabeba chai auHuwa naenda na Kinywaji changu!
Mwe mwe mweeeeh!! Uwage unakunywa juice tu mama usijeniimbisha zile nyimbo mapema yote hii!!Hahaha
Mie sikuwahi kunywa hiyo... Aki ni zaidi ya redbull auntie na kopo lake ni kubwa mnoo
Sio chai Jirani!Unabeba chai au
Nilikomaa mieMwe mwe mweeeeh!! Uwage unakunywa juice tu mama usijeniimbisha zile nyimbo mapema yote hii!!
Nilikuwa sijui!Haina
HahahaSio chai Jirani!
Jaribu siku mojaNilikuwa sijui!
Jirani hapa, acha niendelee kunywa kinywaji changu tuJaribu siku moja
Sawa JiraniJirani hapa, acha niendelee kunywa kinywaji changu tu
Huwa hawaamini ujueKinachonikera ni wahudumu kutudharau.
Tena hawatupendi kabisa!Kinachonikera ni wahudumu kutudharau.
Niliwahi kuulizwa "kama hunywi, umefata nini Bar?"Huwa hawaamini ujue
Muulize ye ni jinsia gn kwanza.Gland Malta hutajuta aise
Stress zako usifananishe na mambo ya maana kama kitungiI used to drink savannah...but na Mimi huu mwaka 2018 nimepiga chini sitaki aina yeyote ya alcohol hata kama ina 1% sitaki..na hao mashost chapombe nimewapiga chini
Mambo ya kujiendekeza tu, eti pombe mtu huwezi acha!