Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

Tusiokunywa Pombe Njooni Tuelezane Vinywaji Vya Kuagiza Tukiwa Bar

e56347e230f56f5dffaae6ba63abaea2.jpg
Nakuahidi ukiagiza hii hautatengwa
 
Hahah,niko hapa nagonga changamoto ya kuku ni hatar,nna maj yangu k.njaro pembenna tonic soda,.mi hua sivung,..kwann uogope kunywa unachopenda kisa kuonekana hunyw,..kwanza mi kwa mwonekano tuu hata nkiagiza maj ya uhai,mtu atajua tu jamaa ndo kinywaj chake,..wala hatowaza,..
 
Wasiotumia kilev hawa ndo wakupnd juu ya wake zao masaa 24 km ATM Hawatk kushuka sbb hawana kilev kingine bullish
 
Back
Top Bottom