GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia Maombi ya Kitapeli badala ya kuweka jitihada katika kufanya Kazi kwa bidii.
Kudos Serikali ya Rwanda, Wanyarwanda wote na hasa Rais Kagame kwa kuwa mfano wa Rais unayejitambua, makini, mwerevu na usiyependa kulea Upumbavu kama uliopo mahala pengine siyo mbali nawe Kijiografia.