Tusione Aibu kuiga hili Jema kutoka kwa Rais Kagame na Rwanda yake

Tusione Aibu kuiga hili Jema kutoka kwa Rais Kagame na Rwanda yake

Unayejitambua = Unae jitambua


Usiyependa = Usie penda.


πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
Subiri kuoga matusi.
 
Subiri kuoga matusi.
Maiti ilikuwa ikimrekebisha Marehemu ikisahau kuwa hata na yenyewe imekosea vile vile kwani maneno hayo ukiyaandika hayaachanishwi kama huyo Mpumbavu unayejipendekeza Kwake alivyofanya. Mkijua mnamchukia GENTAMYCINE jitahidini basi muwe na Akili sawa?
 
Kagame ni akili kubwa sana yule mzee hataki undezi wa aina yoyote kwenye ile nchi
Ukiona tu GENTAMYCINE nawapenda hawa Watu Benjamin BIBI Netanyahu, Paul Kagame, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Yoweri Museveni, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati John Magufuli jua nimeshajihakikishia kuwa wana Akili Kubwa na siyo Wapumbavu kama ambao sijawataja hapa.

Imeisha hiyo Kudadadeki.....!!
 
Back
Top Bottom