GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unayejitambua = Unae jitambuaView attachment 3075993
Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia Maombi ya Kitapeli badala ya kuweka jitihada katika kufanya Kazi kwa bidii.
Kudos Serikali ya Rwanda, Wanyarwanda wote na hasa Rais Kagame kwa kuwa mfano wa Rais unayejitambua,
makini, mwerevu na usiyependa kulea Upumbavu kama uliopo mahala pengine siyo mbali nawe Kijiografia.
Shule muhimu mzee.Unayejitambua = Unae jitambua
Usiyependa = Usie penda.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Wafunge makanisa ya wapiga kuraView attachment 3075993
Hatua hii ya Kimakusudi imekuja ili kuyaondoa Makanisa ya Kipumbavu Kipumbavu ( ya Kitapeli tupu ) ambayo yamejaa sana katika nchi moja ( nimeisahau Jina kwa sasa ) yenye Raia Wabishi, Wasioshaurika, wenye uwezo mdogo wa Kufikiri na Wanaodhani kuna njia ya shortcut katika Kufanikiwa kupitia Maombi ya Kitapeli badala ya kuweka jitihada katika kufanya Kazi kwa bidii.
Kudos Serikali ya Rwanda, Wanyarwanda wote na hasa Rais Kagame kwa kuwa mfano wa Rais unayejitambua, makini, mwerevu na usiyependa kulea Upumbavu kama uliopo mahala pengine siyo mbali nawe Kijiografia.
Acha Rais Kagame awanyooshe.Wapiga ramli, kuwaibia wana nchi kutokana na matatizo kugeuzwa fursa!!
Kumuona tapeli laki moja - tano
Maji kuuzwa mpk elfu 50
Yaaaani kupata huduma nzuri na ya haraka ni mteja kuweka dau lako kubwa
Nchi gani hiyo Mkuu?Wafunge makanisa ya wapiga kura
Rais Kagame hafanani na Marais wengine Wapumbavu Wapumbavu ( Mapopoma Mapopoma ) walioko duniani Mkuu.Huo ndio ukweli na Kwa mwaka makanisa yaliopo kule mahali hata bil 300 itapatikana, lakini pia itasaidia utakatishaji mkubwa wa fedha haramu uliojificha huko, paul kagame alisema utakatishaji huko ni mkubwa sana
Unae jitambua = UnaejitambuaUnayejitambua = Unae jitambua
Usiyependa = Usie penda.
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Maiti zilizo Rwanda na Kwenu ulipo nyingi ziko wapi? au ni Hasira za Yeye ( Kagame ) kuwaambia mumpe Mkoa wenu Mmoja wenye Bandari ili awafundishe kuitumia hiyo Bandari na msiombe tena Misaada Ulaya na Marekani?Kagame anatawala maiti.
Bongo hatuwezi kufunga makanisa ya wapiga kura......huko kwenu Rwanda mnashinda hata bila kura fungeniNchi gani hiyo Mkuu?
Misukule ya Tanzania haiwezi kutawaliwa na mtu mmoja miaka 30, utasomewa hata Kurujuwani utupishe.Maiti zilizo Rwanda na Kwenu ulipo nyingi ziko wapi? au ni Hasira za Yeye ( Kagame ) kuwaambia mumpe Mkoa wenu Mmoja wenye Bandari ili awafundishe kuitumia hiyo Bandari na msiombe tena Misaada Ulaya na Marekani?
0%Unae jitambua = Unaejitambua
Usie penda = Usiependa
Bila shaka huyo Mpumbavu Mmoja hapo juu aliyeenda Shule ya Upumbavu, Unafiki na Chuki nae ataungana nami alipokuunga mkono ulipokurupuka Kurekebisha hakuona kosa.
Maiti ilikuwa ikimkosoa Marehemu kwa Kosa lile lile. Ukitaka kupambana na GENTAMYCINE jitahidi uwe na Akili sawa sawa.