Maiti ilikuwa ikimrekebisha Marehemu ikisahau kuwa hata na yenyewe imekosea vile vile kwani maneno hayo ukiyaandika hayaachanishwi kama huyo Mpumbavu unayejipendekeza Kwake alivyofanya. Mkijua mnamchukia GENTAMYCINE jitahidini basi muwe na Akili sawa?
Ukiona tu GENTAMYCINE nawapenda hawa Watu Benjamin BIBI Netanyahu, Paul Kagame, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Yoweri Museveni, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati John Magufuli jua nimeshajihakikishia kuwa wana Akili Kubwa na siyo Wapumbavu kama ambao sijawataja hapa.