MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.
2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.
3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.
Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.