Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Utopolo mambo yetu ya Simba hayawahusu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.
2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.
3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.
Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.
Mtateseka sanaUmesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.
🤣🤣🤣🤣🤣Umesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.
Kocha ameondoka baada ya kupata offer bora kuliko alichokuwa anapata Simba. Haya mengine ni speculations tu.1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.
2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.
3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.
Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.
Hakuna cha waganga wala nini, siri imefichuka yule alikuwa shabiki wa Utopolo alilipwa hela nyingi kufanya lile tukio ili kuiharibia Simba. Yanga wana mbinu za kipumbavu sanaUmesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.
Bila kuweka Paka Mweusi hapo sitakuelewa!1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.
2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.
3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.
Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.
Tena hilo ni ukweli kabisa kakataa kulala na manyaunyau uchawi kuwanga fc club dah.uchawi upo walozi wakubwa fcKakataa tunguri na kulazwa makaburini na mipaka mieusi.
RageLaiti ungejua ni nani amenithibitishia hili nadhani ungeniomba hata Radhi kwani ni Mtu muhimu kuliko ujuavyo ndani ya Mpira wa TZ na Simba SC.
Stage zinapungua kutokana kiwangoWewe inaonyesha huna kumbukumbu vizuri. Kipindi kile ili ufike group stages zilichezwa mechi nyingi tofauti na Sasa mechi 4 tu tayari group stages. Unacheza na timu mbili tu tayari ukifanikwa kuzipiga huko group stages
Mbona hukuyasema haya tokea ile Juzi alipoondoka na umesubiri eti kapata Timu huko Morocco ndiyo unakuja na huu Unafiki wako hapa. Swine!Kocha ameondoka baada ya kupata offer bora kuliko alichokuwa anapata Simba. Haya mengine ni speculations tu.
Sawa hatuna akili basi nawe jifunze kuandika kiswahili ueleweke...Maana Bwalya si Mzambia ni Mkongo...acha kuhamisha magoli umeandika Mzambia hapo.Nikiwadharau hamna Akili mnakasirika. Nimesema alikuwa anamtaka Walter Bwalya aliyeko Al Ahly sasa au unadhani silijui hili? Acha Kuniboa Ok?
Nguruwe mwenyewe na ukoo wako woteMbona hukuyasema haya tokea ile Juzi alipoondoka na umesubiri eti kapata Timu huko Morocco ndiyo unakuja na huu Unafiki wako hapa. Swine!
Kagere kazeeka na wala hakuna timu inamtaka hata kwa mkopo.Tuachane na utamaduni wa kubet kwenye kila kitu! Huyo kocha ana familia huko ulaya hivyo kaenda kutazama familia yake na wala si vinginevyo!
Suala la Mkude kuna kitu uongozi umeshakosea toka mwanzo na kumlea akaleleka kama alivyo! Mkude kacheza Simba sasa ni zaidi ya miaka 10, Hivyo ni jambo la ajabu leo akaonekana hana nidhamu wakati anaelekea kuzeekea Simba, isiwe kaanza kuwekewa mizengwe sababu Simba wamempa Thadeo Lwanga.
Kuhusu Morisoni sioni shida ya kuwepo kwake anaweza kucheza kama winga wa kushoto iwapo kocha atamtengenezea combination nzuri au atatengenezewa watu wanaoweza kucheza nae vizuri.
Medie Kagere bado ni bonge la straika hata mahasimu wetu wengi wanammezea, Simba wakirogwa wakamuacha mshambuliaji huyu kwa maneno ya mitandaoni itakuwa kama ilivyokuwa kwa Hamis Tambwe, maaa atadakwa na mahasimu wetu alafu huyohuyo ndio atakuwa silaha ya maangamizi kwa Simba.
Kagere atafutiwe tu formation nzuziri na ajengewe mahusiano mazuri na wenzake ili waendelee kumpa support na pasitokee wa kumuhujumu!
Kama Meddie Kagere mwenye Miaka yake 32 Kazeeka vipi kwa Saido Ntibanzonkiza anayetimiza Umri wake wa Miaka 47 Alhamisi tu ya Wiki ijayo?Kagere kazeeka na wala hakuna timu inamtaka hata kwa mkopo.