Tusiopenda Kufichwa mambo hatimaye kisiri kabisa tumeshajua kwanini Kocha Sven Vandebroek Kasepa ghafla

1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.

2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.

3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.

Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.
Umesahau la Waganga na Nyau kupewa thamani kuliko yeye.
 
Kocha ameondoka baada ya kupata offer bora kuliko alichokuwa anapata Simba. Haya mengine ni speculations tu.
 
Hakuna cha waganga wala nini, siri imefichuka yule alikuwa shabiki wa Utopolo alilipwa hela nyingi kufanya lile tukio ili kuiharibia Simba. Yanga wana mbinu za kipumbavu sana
FB_IMG_1610278902500.jpg
 
1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.

2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.

3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.

Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.
Bila kuweka Paka Mweusi hapo sitakuelewa!
 
Wewe inaonyesha huna kumbukumbu vizuri. Kipindi kile ili ufike group stages zilichezwa mechi nyingi tofauti na Sasa mechi 4 tu tayari group stages. Unacheza na timu mbili tu tayari ukifanikwa kuzipiga huko group stages
Stage zinapungua kutokana kiwango
 
Kocha ameondoka baada ya kupata offer bora kuliko alichokuwa anapata Simba. Haya mengine ni speculations tu.
Mbona hukuyasema haya tokea ile Juzi alipoondoka na umesubiri eti kapata Timu huko Morocco ndiyo unakuja na huu Unafiki wako hapa. Swine!
 
Nikiwadharau hamna Akili mnakasirika. Nimesema alikuwa anamtaka Walter Bwalya aliyeko Al Ahly sasa au unadhani silijui hili? Acha Kuniboa Ok?
Sawa hatuna akili basi nawe jifunze kuandika kiswahili ueleweke...Maana Bwalya si Mzambia ni Mkongo...acha kuhamisha magoli umeandika Mzambia hapo.
 
Tuachane na utamaduni wa kubet kwenye kila kitu! Huyo kocha ana familia huko ulaya hivyo kaenda kutazama familia yake na wala si vinginevyo!

Suala la Mkude kuna kitu uongozi umeshakosea toka mwanzo na kumlea akaleleka kama alivyo! Mkude kacheza Simba sasa ni zaidi ya miaka 10, Hivyo ni jambo la ajabu leo akaonekana hana nidhamu wakati anaelekea kuzeekea Simba, isiwe kaanza kuwekewa mizengwe sababu Simba wamempa Thadeo Lwanga.

Kuhusu Morisoni sioni shida ya kuwepo kwake anaweza kucheza kama winga wa kushoto iwapo kocha atamtengenezea combination nzuri au atatengenezewa watu wanaoweza kucheza nae vizuri.

Medie Kagere bado ni bonge la straika hata mahasimu wetu wengi wanammezea, Simba wakirogwa wakamuacha mshambuliaji huyu kwa maneno ya mitandaoni itakuwa kama ilivyokuwa kwa Hamis Tambwe, maaa atadakwa na mahasimu wetu alafu huyohuyo ndio atakuwa silaha ya maangamizi kwa Simba.

Kagere atafutiwe tu formation nzuziri na ajengewe mahusiano mazuri na wenzake ili waendelee kumpa support na pasitokee wa kumuhujumu!
Kagere kazeeka na wala hakuna timu inamtaka hata kwa mkopo.
 
Back
Top Bottom