Tusiopenda Kufichwa mambo hatimaye kisiri kabisa tumeshajua kwanini Kocha Sven Vandebroek Kasepa ghafla

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Kocha hamtaki Meddie Kagere na aliomba Mshambuliaji mahiri kutoka Afrika Kusini au Zambia asajiliwe kakataliwa.

2. Kocha kaamua kwa aina ya nidhamu mbaya ya kiungo Jonas Mkude hamtaki tena katika Kikosi chake kakataliwa.

3. Kocha kila mara amesisitiza kwanini Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison kasajiliwa wakati si mzuri kaambiwa amtumie tu.

Kwa wale ambao mmebahatika ama kufanya kazi au kuishi na Wazungu mnatambua kuwa huwa hawapendi Uswahili, Uhuni na Kubishiwa hovyo.
 
Yeye ni muajiriwa hivyo alitakiwa atimize maelekezo ya boss wake! haiwezekani ukataka kufanya kila unachotaka wewe wakati anayekulipa mshahara hakitaki. Utakuwa ama mwendawazimu au umeichoka kazi au hujielewi
Kwa suala la Mkude na Morisson nakubaliana nae kwa 100% ila kwa suala zima tu la Kagere nakubaliana nae kwa 50% kwani anahitaji Kuvumiliwa.
 
Justin Shonga wa South Africa na Walter Bwalya wa Zambia ni zaidi yake maradufu sema tu wote hawa Simba SC ingevunja Kibubu cha 900M.
Ni sawa kabisa mkuu,ila kunamsemo usemao "shikilia ulichonacho"
Uwenda ao wachezaji uliowataja kwasasa ni bora zaidi ya Mk47 lakini wasipaform vizuri kama ilivyotarajiwa au wakafanya vizuri 50/50.
 
Yeye ni muajiriwa hivyo alitakiwa atimize maelekezo ya boss wake! haiwezekani ukataka kufanya kila unachotaka wewe wakati anayekulipa mshahara hakitaki. Utakuwa ama mwendawazimu au umeichoka kazi au hujielewi
Mbona ww umemuajiri magufuli lkn ana yy ndie kila kitu anachota anaamua yy wala hakuna wa kumpinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…